Rais asheherekea birthday ya marehemu

domokaya

JF-Expert Member
Apr 22, 2010
3,545
1,719
Huna haja ya kwenda laboratory kupima akili za watanzania, wewe angalia tu vitendo vyao. Rais wa nchi ya Tanzania na washirika wake wakitumia mamilioni ya pesa kumfanyia sherehe ya kuzaliwa marehemu. Kawaida mtu akizaliwa na kufa siku inayobaki kukumbukwa ni ile aliyokufa na si kuzaliwa. Mfano Nyerere anakumbukwa katika siku ya kifo chake, Karume nae hivyohivyo sasa leo TANU alishakufa miaka 30 na ushee halafu eti ikakumbukwa siku ya kuzaliwa. Yaani kama vile unachamba kabla ya kujisaidia wakati kopo lenyewe la maji lipo moja.
 
Karume Day nayo twaanzimisha ujinga gani tena?

Karume-Day.jpg

President Jakaya Mrisho Kikwete (five right) President of Zanzibar Amani Abeid Karume (six right), with other leaders of national praying prayers at the grave of the appropriate us of revolutionary Zanzibar late Mzee Abeid Amani Karume at the main office of CCM Kisiwandui Zanzibar this morning. others in the picture from left Deputy Chief Minister Ali Juma Shamuhuna SMZ, Zanzibar CCM Deputy Secretary-general Salehe turquoise Ramadhani, Chief Minister Shamsi Vuai Nahodha SMZ, and Vice President Mohamed Shein Dr.Ali

http://in2eastafrica.net/it-is-karume-day-today/
 
It is Karume Day today - In2EastAfrica

ha ha ha ha ha ha! hapo ubwabwa upo tayari jikoni. ni heri tu huu muungano uvunjike tupunguze siku za kupiga laga mtaani.
 
Mkuu, unanikumbusha Serikali ya awamu ya 2 pale ilipopeleka mswada bungeni na baadaye kupitishwa na kusainiwa kuwa sheria, ili iwapo sikukuu yoyote ile itaangukia siku ya wikiendi (Jumamosi au Jumapili) basi mapumziko hayo yatapelekwa siku ya Kazi yaani kati ya Juma3 hadi Ijumaa.

Tanzania kipindi hicho ilijulikana kama, " ...Jamhuri ya Muungano wa Mapumziko..." Kweli ilikuwa ni KITUKO !!!!
 
kumbukumbu ni kitu kizuri daima, tatizo lipo ktk nchi kama tz ina mambo mengi ya msingi ili kujikwamua ktk umasikini ila viongozi wetu inapofikia jambo kama hili basi budget iliyopo itaongezwa mara tatu
 
Back
Top Bottom