Rais arejea

Rais arejea

lukindo

JF-Expert Member
Joined
Mar 20, 2010
Posts
8,467
Reaction score
9,053
8E9U9052.jpg
The Vice President Dr.Mohamed Gharib Bilal welcomes back home President Dr.Jakaya Mrisho Kikwete shortly after he arrived at Mwalimu Julius Nyerere International Airport in Dar es Salaam from Alpbach ,Austria where he attended a high Level Retreat on "New Ideas for a Fair Globalisation".Photo by Freddy Maro-State House

Naomba kujua wanajf:
Kama nilivyowahi kusikia kuwa huwa anakwenda 'kuemea', je hiyo briefcase aliyoshika msaidizi wake ndio ina misaada!? Nauliza tu.
 
na wewe acha uvivu wa kufikiri basi
mkuu, saa nyingine ukifikiri unafika mwisho ndio maana nikauliza. Laweza kuwa swali dogo kwako lakini gumu kwa wengine kama mimi.
 
kama umesikia ungewauliza hao waliokuwezesha hadi ukasikia hayo unayotaka kufahamu kupitia humu JF.
 
Pole kwa uchovu wa kuzurura rais wangu mpendwa....
 
We mwenyewe mazee mbn unazurura sn Tu ktk kuhakikisha mambo yanakaa sawa.
 
Hicho kindege kidogo mno kwa safari ya masaa 8+ Mtu huwezi hata kujinyoosha nyoosha kwa uhuru/Kwa kweli hakina hadhi ya rais wa nchi yenye rasilimali nyingi kama TZ. nabidi atafutiwe ndege kubwa. Wamuagizie angalau Dreamliner 787-9 ..
 
View attachment 110318
The Vice President Dr.Mohamed Gharib Bilal welcomes back home President Dr.Jakaya Mrisho Kikwete shortly after he arrived at Mwalimu Julius Nyerere International Airport in Dar es Salaam from Alpbach ,Austria where he attended a high Level Retreat on “New Ideas for a Fair Globalisation”.Photo by Freddy Maro-State House

Naomba kujua wanajf:
Kama nilivyowahi kusikia kuwa huwa anakwenda 'kuemea', je hiyo briefcase aliyoshika msaidizi wake ndio ina misaada!? Nauliza tu.

usijekuta kina nyanya na ndizi kama kile cha mwenzie wa Zanzibar
 
Hicho kindege kidogo mno kwa safari ya masaa 8+ Mtu huwezi hata kujinyoosha nyoosha kwa uhuru/Kwa kweli hakina hadhi ya rais wa nchi yenye rasilimali nyingi kama TZ. nabidi atafutiwe ndege kubwa. Wamuagizie angalau Dreamliner 787-9 ..

Akipewa hilo dege si atatamani afike hadi mwezini !!!
 
View attachment 110318
The Vice President Dr.Mohamed Gharib Bilal welcomes back home President Dr.Jakaya Mrisho Kikwete shortly after he arrived at Mwalimu Julius Nyerere International Airport in Dar es Salaam from Alpbach ,Austria where he attended a high Level Retreat on “New Ideas for a Fair Globalisation”.Photo by Freddy Maro-State House

Naomba kujua wanajf:
Kama nilivyowahi kusikia kuwa huwa anakwenda 'kuemea', je hiyo briefcase aliyoshika msaidizi wake ndio ina misaada!? Nauliza tu.

Yeah, humo ndiyo kuna dawa ya njaa zetu!!! SINDBAD THE SAILOR is back!!
 
Hicho kindege kidogo mno kwa safari ya masaa 8+ Mtu huwezi hata kujinyoosha nyoosha kwa uhuru/Kwa kweli hakina hadhi ya rais wa nchi yenye rasilimali nyingi kama TZ. nabidi atafutiwe ndege kubwa. Wamuagizie angalau Dreamliner 787-9 ..
ili iwe rahisi kubeba misaada au!?
 
hivi alienda kuomba wapi safari hii!! hehee ila jamaa namkubali kwa hilo mpaka akiondoka tumeneemeka hehee. Maana nimeona briefcase labda kuna vidola humo!!
 
Hicho kindege kidogo mno kwa safari ya masaa 8+ Mtu huwezi hata kujinyoosha nyoosha kwa uhuru/Kwa kweli hakina hadhi ya rais wa nchi yenye rasilimali nyingi kama TZ. nabidi atafutiwe ndege kubwa. Wamuagizie angalau Dreamliner 787-9 ..

Hujakapanda bana.......ni kakubwa kuliko VX

GulfstreamG5502.jpg


Gulfstream-g550-int-2.jpg
 
View attachment 110318
The Vice President Dr.Mohamed Gharib Bilal welcomes back home President Dr.Jakaya Mrisho Kikwete shortly after he arrived at Mwalimu Julius Nyerere International Airport in Dar es Salaam from Alpbach ,Austria where he attended a high Level Retreat on "New Ideas for a Fair Globalisation".Photo by Freddy Maro-State House

Naomba kujua wanajf:
Kama nilivyowahi kusikia kuwa huwa anakwenda 'kuemea', je hiyo briefcase aliyoshika msaidizi wake ndio ina misaada!? Nauliza tu.

Vice President ana kazi kweli ya kumpokea kila akirudi ukizingatia safari zenyewe ni nyingi mno
 
Back
Top Bottom