Rais anisukuma nipigane vita

Mkuuyakaya, ni kwanini wewe ulivyoona haya mambo sii sahihi hukuripoti hili suala polisi au kutoa alert even hata JF kama @mwigulunchemba alivyokuwa anawaagiza kwamba msifike kwenye huo mkutano wa CDM wa kufunga kampeni??
 
Last edited by a moderator:
Huyu ni mtuhumiwa na 1 kwakua ameamua kusema mwenyewe, kamwe tusidhani ni mtu mzuri tangu tukio kutokea mpaka hivi sasa muda gani umepita? Huyu alikuwa na uwezo kurahisisha kukamatwa kwa waarifu na kama si kuzuia kabisa, maana alikua na taarifa ya jambo baya kutokea, kwanini hakulipoti polisi au kama hakua na imani nao angelipoti hata kwa viongozi wa chadema. Angekua mzalendo wa kweli kwavile alishindwa kuripoti kabla ya tukio, angefanya hivo mara baada ya tukio kutokea. kama kweli na watanzania wenzake waliopoteza maisha, na wengine kupata vilema vya maisha alikua wapi muda wote wa miezi 6. Je asingahama CCM, na Mwigulu kuandika mada ya kujitetea tungeajuje haya, mimi kwangu mtoa mada hii nae anahusika moja kwa moja na mauji haya, na anaswa kumatwa kama mtuhumiwa maana nae alishiriki kupanga mauji hayo.
 
Mwigulu hakuna mahakama ya kumuhukumu yuko above the low kinachotakiwa ni Mob justice tu ndo dawa ya akina Mabina.
 
Mhe. Lema mbunge wa waathirika tikio hili, nakumba ukafungue kesi shahidi na 1 ni huyu anaejiita mkuu kaya hapa, pamoja bandiko lake hapa jukwaani. Nae mwenyewe akiwa mmoja wa walioshiriki mauaji hayo, alishiriki kikao cha kupanga mauji na akaamua kukaa kimya, na hata baada ya mwanae mwenyewe kuuwawa kwanye tukio lile. Leo damu imemrudia amekuta anaeleza kujua anachokifanya, alishondwa kuripoti polisi labda hakua na imani nao lakini hata kwa kiongozi yeyote wa CDM. huyu tusimuone kama mtu mwema kamwe, anatafuta pa kujificha na uzuri amekohoa peleka mahakani ataje wenzie wote waliohusika na mauaji. Huyu hafai mwanachama/kiongozi wa CDM, maana jambo hatakama ni baya ilimradi anasilahi nalo analinyamazia bilakujali litawaumiza wengine Mhe. Lema.
 
mkuu pole sana kwa yaliyokupata mwigulu ni kiumbe hatari sana hana utu hata kidogo.
 
Hizi ni ngonjera za kipuuzi sana. Kwa nini mnahangaika na mariwaya wakati mwenyekiti wenu anasema kuwa anayo CD inayoonesha waripuaji wa bomu pale Soweto?
usiwe mtumwa wa buku 7 shirikisha ubongo wako hapo mara chache
 
..


....Ninaweza kunusa kitu hapa!!!


stay tuned hapa hapa!!!

Huyu hana lolote, ni mpuuzi tu amekuja kusikilizia moto wa bomu la Soweto ukoje. Mkuuyakaya Kamwambie Mwigulu time'll tell.
Tutamkamata akiwa hai na ataonja kila harufu ya maumivu hapahapa Ar kama mlivyokuja kuuwa watu hapa.
Na LAZIMA AUWAWE KAMA ALIVYOUWA.
 
Last edited by a moderator:

Mkuu ktk vitu ambavyo mi mpaka leo najiuliza ni busara za machalii wa Arusha kumvumilia huyu dumuzi savimbi mpaka leo, wenzetu wa Tarime wasinge mwacha hata siku au aJe Tunduma siku alete hayo maujinga atakuja kuona
 
Ook, sasa labda nikuulize swali.
Wewe umeamua kuingia kwenye battle ground kwa sababu mtoto WAKO TU( nielewe vizuri) alikufa??

Mkuu Kenwood, kifo cha mwanangu ni sababu hasa iliyonifanya nipigane hii vita, na kiukweli kama mwanangu kifo kisingemfika nisingekuwa na sababu yoyote ya kupambana na Mwigulu kwakuwa angeendelea kuwa kiongozi wangu ndani ya chama.
Ila napenda uelewe wajumbe wote tuliokuwa katika ukumbi wa Chuo tulikuwa tumeenda kusikiliza na sio kupanga jambo lolote maana taarifa za awali tuliambiwa kuna mbinu tunakuja kupewa na sio kupanga.
 
mkuu unamuomba rais aunde tume wakati yeye ndiye aliyewatuma kufanya kampeni chafu dhidi ya CHADEMA,
ila pia mwenyekiti wa CHADEMA lazima afanye kitu kabla ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2015, hili suala ni nyeti na halivumiliki hata kidogo

MKUU Mirisho Pm ata mimi nitashangaa kama mpaka 2015 Chadema hawajafanya jambo kwa ajili ya kupoteza mashabiki wao kwenye bomu la Soweto, na watakuwa ni chama kioga kama vyama vingine tu vya upinzani.
Sipendi kuisemea Chadema maana ile ni Taasisi na inataratibu zake, ila Mwigulu ipo siku atailipa damu ya mwanangu?
 
Mkuuyakaya, ni kwanini wewe ulivyoona haya mambo sii sahihi hukuripoti hili suala polisi au kutoa alert even hata JF kama @mwigulunchemba alivyokuwa anawaagiza kwamba msifike kwenye huo mkutano wa CDM wa kufunga kampeni??

Mkuu napenda uelewe mimi ni binadamu na nilikuwa mpenzi wa ccm na kama unavyoelewa kwa mwana ccm yoyote akisikia baya limetokea chadema basi ujue kwake ni furaha.
Kiukweli baada ya maelezo ya angalizo za Mwigulu tulifurai japo sikuwaza kama kuna bomu la kuu liliandaliwa zaidi nilijua kuwa Mh. Mwigulu amesha-organiz na Mh. Nchimbi hivyo nilijua polisi watatumika kuaribu mkutano wa Chadema na kukamata viongozi wao hasa Lema maana huyo ndio alikuwa anatusumbua sana na kutukasirisha kila kukicha.
Hivyo tulibariki mpango na kukubaliana kufuata maelezo na kuwa wasiri.
 

Mkuu Jaim, Hapo kwenye red naomba usiniusishe kabisa maana nilieleza na nina eleza kwamba tuliambiwa kuna jambo tunaletewa toka makao makuu ya chama, nikiwa namaanisha mipango yote ilipangiwa makao makuu ya ccm na huku arusha Mwigulu alituletea habari tu na sio alipanga na sisi.

Hapo kwenye bluu Hata mwanajeshi mwenye silaha akimuona adui awezi kumfuata kichwakichwa tu lazima avute subira uku akipanga mipango yakumkabili. Naomba uelewe kuwa Mwigulu alikuwa anatuakikishia kuwa ameshaongea na waziri Nchimbi na hakuna polisi atakaekuwa kinyume na sisi kipindi chote cha kampeni na ndio maana uliona siku moja tulipiga watu mapanga mchana kweupe mitaa ya Majengo na hakuna kijana yoyote wa ccm aliekamatwa.

Sasa kutokana na Mh. Raisi kumweka benchi Mh. Nchimbi ndio na sisi tumepata kamwanga kidogo.
 

Mkuu! Unataka kuniambia Nchimbi alikuwa ni mtu hatari zaidi ya Nchemba!?
 


Mkuu Jaim, inaonekana nia yako sio njema na mimi, kwanza fikiria ni maumivu gani mzazi anayokuwa nayo anapopoteza mwanao kwenye mazingira kama haya.
Alafu napenda nikueleze kuwa mimi na siasa kwa sasa ni vitu viwili tofauti kabisa siitaji uanachama wa Chadema wala chama chochote kile cha siasa. Ila kwakuwa adui yangu ni mwanasiasa lazima nitafute silaha ya kumshusha na kumfukia kabisa na kama silaha yenyewe ni CHADEMA basi sina budi kuitumia.
 
Kafungue kesi mahakamani mnataka tume ya nini tena mtumie fedha za walipa kodi. Mashahidi si wapo mbona watanzania tukuwa kama vile akili zetu ni za kuazima na hatujui haki zetu?

 


Mkuu ktk comment yako hii inaonyesha ni kwa kiasi gani binaadamu tumekosa ile hali ya kuwa binaadamu kwa kuwapenda binaadamu wenzetu bila kujali dini/rangi/kabila/itikadi za kivyama na vingine vya kufanana na hivyo ,kwa comment yako hii inatupa picha ni kwa kiasi gani kwa baadhi ya wanachama wa ccm(wengi wao) walivyo hatari kwa kuangamiza maisha ya binaadamu mwenzio eti kisa ni mpinzani wao.

Mungu ni mkubwa mnaendelea kujifunua na mtaendelea kujifunua kadiri ya muda unavyokwenda ,binafsi nilikuwa ktk mkutano wa kufunga kampeni zile pale Soweto na mlipuko ulivyotokea nilikuwa ktk eneo la tukio na kwa jinsi ukiona miili na damu za watu zilivyokuwa zimetapakaa(kilikuwa ni kitendo cha kigaidi) dah!.Nnawapa pole wahanga wote wa tukio lile ,ni tukio ambalo sidhani kama ninaweza kulisahahu ktk maisha yangu..Hivi kweli siasa ndio iwe kigezo cha kumwaga damu za watu!!!?Kwa tuliokesha na kuomba Mungu ipo siku maombi yetu yatajibiwa......
 
kwa hiyo CCM taifa wanabariki huu upuuzi wa Mwiguru,Mbona hadi sasa sijasikia kauli kutoka kwa Nape...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…