Sheria zenu za kipumbavu hizo zimesaidia nini wananchi zaidi ya kuwakwamisha?Huyu mama sijui hajui daki misheni za maharamia ya bongo?
Hata manunuzi anataka hata singo sosi apewe.
Hii inaenda kutafuna pesa za umma hakuna mfano.
Wajamaa hamna nafasiKuna trend ya wahuni kutaka marudio ya kubinafsisha mali na mashirika ya taifa halafu wanakula dili na wawekezaji feki kupora mali za umma kama walivyofanya awamu ya Mkapa.
Mama wengi hatumuamini kutokana na utashi wake kupapatikia wafanyabiashara binafsi na uwekezaji wa nje bila kuona tija kwa maendeleo ya watanzania.
Tangu aingie tumeona anafikiri kushirikisha watu binafsi kwenye mashirika ya umma bila kuona hatari ya ubabaishaji na utapeli wa wawekezaji wababaishaj.
Alipokuwa anamtumbua CEO wa bandari ametaja kwamba anakwamisha wawekezaji kama sababu kubwa.
Hapo naona ni maagizo ceo mpya awasikilize wahuni wanaojidai kutaka kuwekeza wakati nia yao ni kuja kuidumaza bandari.
Sera yetu tangu zamani ni kuhakikisha sekta muhimili za uchumi kama bandari reli mawasiliano etc zinabakia mikononi kwa umma na pia kua na mamlaka imara za kudhibiti uchumu wa taifa.
Nina mashaka na uelewa wa mama wa mambo ya uchumi. Yafaa washauri wawe na uzalendo kumuongoza vizuri.
Fisadi Kikwete ni hatari, sasa wanapora ardhi na kujenga vituo vya mafuta vya Lake OilKuna trend ya wahuni kutaka marudio ya kubinafsisha mali na mashirika ya taifa halafu wanakula dili na wawekezaji feki kupora mali za umma kama walivyofanya awamu ya Mkapa.
Mama wengi hatumuamini kutokana na utashi wake kupapatikia wafanyabiashara binafsi na uwekezaji wa nje bila kuona tija kwa maendeleo ya watanzania.
Tangu aingie tumeona anafikiri kushirikisha watu binafsi kwenye mashirika ya umma bila kuona hatari ya ubabaishaji na utapeli wa wawekezaji wababaishaj.
Alipokuwa anamtumbua CEO wa bandari ametaja kwamba anakwamisha wawekezaji kama sababu kubwa.
Hapo naona ni maagizo ceo mpya awasikilize wahuni wanaojidai kutaka kuwekeza wakati nia yao ni kuja kuidumaza bandari.
Sera yetu tangu zamani ni kuhakikisha sekta muhimili za uchumi kama bandari reli mawasiliano etc zinabakia mikononi kwa umma na pia kua na mamlaka imara za kudhibiti uchumu wa taifa.
Nina mashaka na uelewa wa mama wa mambo ya uchumi. Yafaa washauri wawe na uzalendo kumuongoza vizuri.
Kwanini usihame nchi mpaka Mama yetu kipenzi cha Watanzania alize mihula yake? Sukuma gang mtapata tabu sanaKuna trend ya wahuni kutaka marudio ya kubinafsisha mali na mashirika ya taifa halafu wanakula dili na wawekezaji feki kupora mali za umma kama walivyofanya awamu ya Mkapa.
Mama wengi hatumuamini kutokana na utashi wake kupapatikia wafanyabiashara binafsi na uwekezaji wa nje bila kuona tija kwa maendeleo ya watanzania.
Tangu aingie tumeona anafikiri kushirikisha watu binafsi kwenye mashirika ya umma bila kuona hatari ya ubabaishaji na utapeli wa wawekezaji wababaishaj.
Alipokuwa anamtumbua CEO wa bandari ametaja kwamba anakwamisha wawekezaji kama sababu kubwa.
Hapo naona ni maagizo ceo mpya awasikilize wahuni wanaojidai kutaka kuwekeza wakati nia yao ni kuja kuidumaza bandari.
Sera yetu tangu zamani ni kuhakikisha sekta muhimili za uchumi kama bandari reli mawasiliano etc zinabakia mikononi kwa umma na pia kua na mamlaka imara za kudhibiti uchumu wa taifa.
Nina mashaka na uelewa wa mama wa mambo ya uchumi. Yafaa washauri wawe na uzalendo kumuongoza vizuri.
Jiwe ambaye ni sukuma gang mwenzenu alikuja na sera zake za ushirikina na ushamba mwisho wa silu nchi ikarudi emzi za ujima, kaeni kwa kurulia nyie sukuma gang. Muda wenu umeishaHuyu mama sijui hajui daki misheni za maharamia ya bongo?
Hata manunuzi anataka hata singo sosi apewe.
Hii inaenda kutafuna pesa za umma hakuna mfano.
Si ulisema hii awamu mnafata sheria?Sheria zenu za kipumbavu hizo zimesaidia nini wananchi zaidi ya kuwakwamisha?
Jiwe alifanya vibaya lakini hii haimaanishi pia sasa hivi watu wakae kimya pale wanapoona hapako sawaJiwe ambaye ni sukuma gang mwenzenu alikuja na sera zake za ushirikina na ushamba mwisho wa silu nchi ikarudi emzi za ujima, kaeni kwa kurulia nyie sukuma gang. Muda wenu umeisha
Hapana kila mtu anayeona Kuna Jambo halipo sawa anapaswa kusemaKwanini usihame nchi mpaka Mama yetu kipenzi cha Watanzania alize mihula yake? Sukuma gang mtapata tabu sana
Ukaifufue? Huo mradi mtauweza?Mama aiuze tu hii Bandari,halafu tukaifufue ile ya Bagamoyo iliyokuwa kubwa Afrika Mashariki enzi zile za zamani.
Bana makalio usepe.Jiwe ambaye ni sukuma gang mwenzenu alikuja na sera zake za ushirikina na ushamba mwisho wa silu nchi ikarudi emzi za ujima, kaeni kwa kurulia nyie sukuma gang. Muda wenu umeisha
Kwa kushirikiana na Marekani, tukimuachia Mchina karibia ataanza somba Watumwa kwa madeni anayotudai na CCM itasema Wapinzani tuanze kusombwa kwanza.Ukaifufue? Huo mradi mtauweza?
Mmarekani?? Sasa bandari si itakua chini yake, hakuna ambacho tutafanya.Kwa kushirikiana na Marekani, tukimuachia Mchina karibia ataanza somba Watumwa kwa madeni anayotudai na CCM itasema Wapinzani tuanze kusombwa kwanza.