Rais anapoondoka hujapewa unga!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Rais anapoondoka hujapewa unga!!!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by kakolo, Jul 22, 2011.

 1. k

  kakolo Senior Member

  #1
  Jul 22, 2011
  Joined: Jul 7, 2011
  Messages: 176
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 45
  Hilo ni jibu la Mr. Pinda akijibu swali la mbunge aliyetaka kujua kwa nini hamchukulii hatua Bw. Jairo? Inavyoelekea hakuna mtu anayejua wajibu wake, Pinda alisema anamsubiri rais kwani ndiye aliyemteua, Makamu wa Rais ambae ndio huchukua majukumu kwa mujibu wa katiba na analipwa kwa hilo yeye hajui kitu yuko busy na PR activities.

  Rais na yeye kataarifiwa badala ya kutoa mwongozo kuwa mwambie makamu na yeye anasema nisubirini!!! Haya Katibu mkuu kiongozi nae kaja kutoa mwongozo pamoja na kum-suspend Jairo hata hivyo tayari PINDA akiwa amesha haribu. PINDA kasema ndiyo katiba inasema Rais, Vice, PM lakini kila madaraka yana kikomo siyo RAIS AKIONDOKA UMEPEWA UNGA!!!!

  MUDA HAUJAPITA KM KIONGOZI KAMSIMAMISHA JAIRO. Maoni yangu either hakuna job description or hawajui majukumu yao hasa PINDA NA MKUU WA KAYA kwani ndio wamesababisha hii songombingo.
   
Loading...