Rais anaenda kinyume na mitizamo ya wananchi

Habari zenu wanajamvi,

Bila shaka mmepatwa na mshangao kwa uamuzi uliochukuliwa dhidi ya msanii Ney wa Mitego. Nimejaribu kupitia matukio kadhaa yaliyotokea hivi karibuni ndani ya nchi yetu Tanzania yaliyokua yanategemea maamuzi kutoka kwa mh rais.

Nimegundua rais amekua akitenda tofauti na mitazamo/hukumu zetu. Mfano tukianza na swala la Mkuu wa Mkoa wa Dar na tuhuma dhidi ya kugushi vyeti na kuvamia Clouds matumaini na mitizamo yetu ilikua ni kwamba mh rais angemuondoa ktk nafasi yake na kuchukuliwa hatua za kisheria lakini kachukua maamuzi ambayo kila mtu hadi sasa amebaki na mshangao.

Ukija katika ishu ya Ney wa Mitego kuhusu wimbo wake kuoneka kuwa na baadhi ya maneno yanayomlenga mh rais watu wengi walishatoa hukumu kuwa msanii huyu. atafungwa au kupotezwa kabisa hasa baada ya msanii huyo kukamatwa na Jeshi la Polisi mjini Morogoro lakini imekua tofauti pia na uamuzi aliochukua mh rais wa kuagiza msanii huyo aachiwe na wimbo wake uendelee kupigwa na vituo vyote vya redio nchini hivyo kutengua uamuzi wa BASATA walioufungia wimbo huo.

Ni hayo tu

south
Nafikiri Rais Magufuli anachofanya ni Kujaribu ku-apply hypothesis nyingine ili kuona reactions za wananchi zitakuaje?.

Na nadhani lengo lake ni kuwafunga Midomo wale wote, wanaoonekana kua ni wakosoaji wa utawala wake. Kwa kuwanyima visingizio.

Akiendelea kwa style hii, ni wazi atakua hatabiriki na atafanikiwa sana kwenye ajenda zake.

Manake hata Mimi nilikua najua kumtabiria (Prediction sio Prophecy) na nilikua napatia sana.

Ila kwa hili sikuweza kuliona kama linaenda kutokea.
 
Nendeni mkasome 'Reverse physchology', hapo ndio mtajua JPM ni mtu wa aina gani.
=============================

Reactance theory
says that people who feel their sense of control is being taken away from them will grab it back by not doing what they are asked. This can even be actions that are clearly against their best interests, for example as may occur in reaction formation.

Reverse psychology
is more likely to be successful with people who have a high need for control. Rebellious teenagers who naturally do the opposite of what their parents say are classic targets, as are Type A people and those with narcissistic or evenpsychopathic tendencies.

Doing a reversal can also be used as a deliberate provocation to wake the other person up to their unreasonable stance. This requires them to think about what is said, which is quite different to the normal provocation of reactance which works best when they are in an emotional, unthinking state.

Where the other person may suspect reverse psychology is being used (which is typical of savvy teenagers), then reversing the reverse may be useful or perhaps using some form of cloaking to confusethe actual method being used. It can help if it seems that you do not care what decision they actually make.

There is a danger of reverse psychology backfiring, such as when the person realizes that you are trying to manipulate them and deliberately follows your suggestion as subtle revenge. Even if they believe you, they may also judge you as bad in some way for not making good decisions.

Another danger is that there is often more than one alternative to what you are suggesting and the person chooses just something else rather than the 'opposite' that you intend.

Rather than cause reactance, you can give indication that you are not forcing their decision, but still implant the suggestion in a self-reversing denial, for example by saying 'I'm not saying you should X'. The person now has to consider X but as they are not being asked to do it, they may now take it on board.

[emoji115] [emoji120] [emoji817] [emoji86] [emoji115] [emoji817] [emoji817] [emoji817] [emoji817] [emoji111] [emoji111] [emoji111] [emoji111]
 
Nafikiri Rais Magufuli anachofanya ni Kujaribu ku-apply hypothesis nyingine ili kuona reactions za wananchi zitakuaje?.

Na nadhani lengo lake ni kuwafunga Midomo wale wote, wanaoonekana kua ni wakosoaji wa utawala wake. Kwa kuwanyima visingizio.

Akiendelea kwa style hii, ni wazi atakua hatabiriki na atafanikiwa sana kwenye ajenda zake.

Manake hata Mimi nilikua najua kumtabiria (Prediction sio Prophecy) na nilikua napatia sana.

Ila kwa hili sikuweza kuliona kama linaenda kutokea.
Upo sahihi lakini kwa asilimia kubwa wanayokosoa watu ni chanya na wakati huo huo ye anafanya kinyume na wanaomkosoa je tutafika kweli
 
Ni sawa lakini kumbuka pia hata hili la kumkamata Ney, hakua sahihi.

Ila kwasababu ya hulka yake tulijua lingetokea. Na kweli alimkamata.

Sasa kitendo cha kumuachia kiulaini ndio sijakitegemea, tena na kuwataka basata waendelee kuupiga wimbo wake.

Ni kama ameamua kucheza na saikolojia za watu kwa muda. Ili kupisha upepo Fulani hivi upite.
 
Habari zenu wanajamvi,

Bila shaka mmepatwa na mshangao kwa uamuzi uliochukuliwa dhidi ya msanii Ney wa Mitego. Nimejaribu kupitia matukio kadhaa yaliyotokea hivi karibuni ndani ya nchi yetu Tanzania yaliyokua yanategemea maamuzi kutoka kwa mh rais.

Nimegundua rais amekua akitenda tofauti na mitazamo/hukumu zetu. Mfano tukianza na swala la Mkuu wa Mkoa wa Dar na tuhuma dhidi ya kugushi vyeti na kuvamia Clouds matumaini na mitizamo yetu ilikua ni kwamba mh rais angemuondoa ktk nafasi yake na kuchukuliwa hatua za kisheria lakini kachukua maamuzi ambayo kila mtu hadi sasa amebaki na mshangao.

Ukija katika ishu ya Ney wa Mitego kuhusu wimbo wake kuoneka kuwa na baadhi ya maneno yanayomlenga mh rais watu wengi walishatoa hukumu kuwa msanii huyu. atafungwa au kupotezwa kabisa hasa baada ya msanii huyo kukamatwa na Jeshi la Polisi mjini Morogoro lakini imekua tofauti pia na uamuzi aliochukua mh rais wa kuagiza msanii huyo aachiwe na wimbo wake uendelee kupigwa na vituo vyote vya redio nchini hivyo kutengua uamuzi wa BASATA walioufungia wimbo huo.

Ni hayo tu

south
Mbeleko imekuwa ya moto.
Ccm na Bunge watamkaanga.
tapatalk_jpeg_1490279028402.jpg
 
Ni sawa lakini kumbuka pia hata hili la kumkamata Ney, hakua sahihi.

Ila kwasababu ya hulka yake tulijua lingetokea. Na kweli alimkamata.

Sasa kitendo cha kumuachia kiulaini ndio sijakitegemea, tena na kuwataka basata waendelee kuupiga wimbo wake.

Ni kama ameamua kucheza na saikolojia za watu kwa muda. Ili kupisha upepo Fulani hivi upite.
Toka swala la kudai vyeti vya Bashite lianze naona kabisa kichwa chake hakijakaa vizuri
 
Habari zenu wanajamvi,

Bila shaka mmepatwa na mshangao kwa uamuzi uliochukuliwa dhidi ya msanii Ney wa Mitego. Nimejaribu kupitia matukio kadhaa yaliyotokea hivi karibuni ndani ya nchi yetu Tanzania yaliyokua yanategemea maamuzi kutoka kwa mh rais.

Nimegundua rais amekua akitenda tofauti na mitazamo/hukumu zetu. Mfano tukianza na swala la Mkuu wa Mkoa wa Dar na tuhuma dhidi ya kugushi vyeti na kuvamia Clouds matumaini na mitizamo yetu ilikua ni kwamba mh rais angemuondoa ktk nafasi yake na kuchukuliwa hatua za kisheria lakini kachukua maamuzi ambayo kila mtu hadi sasa amebaki na mshangao.

Ukija katika ishu ya Ney wa Mitego kuhusu wimbo wake kuoneka kuwa na baadhi ya maneno yanayomlenga mh rais watu wengi walishatoa hukumu kuwa msanii huyu. atafungwa au kupotezwa kabisa hasa baada ya msanii huyo kukamatwa na Jeshi la Polisi mjini Morogoro lakini imekua tofauti pia na uamuzi aliochukua mh rais wa kuagiza msanii huyo aachiwe na wimbo wake uendelee kupigwa na vituo vyote vya redio nchini hivyo kutengua uamuzi wa BASATA walioufungia wimbo huo.

Ni hayo tu

south
anahangaika hadi anatia huruma. mambo ya msingi hafanyii kazi, kama vile bashite, mambo ya ney wa mitego anataka kuchukulia sifa hapohapo akifikiri watu watasahau suala la bashite. hata afanyeje watu wanamchukia tu. labda amwondoe bashite hapo ndio mioyo ya watu itapoa, la sivyo, ni rais anayeonekana mbele za macho ya watz kama ni mtu mkatili kuliko wanadamu wote. hata mimi namwona kwa picha hiyo.
 
Anatafuta pa kuzima swala la Bashite na vyeti
 
Boraa tu hzi ngazii zotee za uongozi za chini zisingekuwepoo maana jamaa ana ana cover kilaaa idaraa ...kwa kuwaonyeshaa anawezaa kuimudu nchi mwenyewee kaendaa mpk basataa ..usishangaee keshoo yupoo ndani ya nyumbaa yakoo anakupangiaa mpk ulee miloo mingapi kwa ckuu..
 
Hii awamu yetu na tuna kazi kweli, labda ana tafsiri tofauti kuhusu urais
 
Anatafuta pa kuzima swala la Bashite na vyeti
ajabu yake, huku mtaani watu wana hasira naye balaa. anasababisha maisha magumu tu mtaani huku, mi sioni hata anachofanya kinachonisaidia maishani mwangu.
 
Back
Top Bottom