Rais anaenda kinyume na mitizamo ya wananchi

Hii awamu yetu na tuna kazi kweli, labda ana tafsiri tofauti kuhusu urais
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] kwakeee urais anaonaa km vilee ni kuongozaa gengee LA wahunii flan au familiaa ya watoto watanoo...hanaa kbs karamaa yakuwaa kiongozi wa nchii
 
...hivi ni kwa nini hakutoa amri kama hiyo pale alipokamatwa MHESHIMIWA LEMA.....!? Yaani ni na mashaka makubwa juu ya MAAMUZI ya huyu Mkuu...
 
Aiwish ikudibi oni fronti futi ! Magufuli hoyeeeeeee.mzee wakuchukua form mwenyewe,kujipigia kura mwenywe,nakujipa uraisi mwenewe.hakika magufuli,weka mbali na mtt. Umetisha mutakatifu wetu kwa hili la ney wa mitego.hakika hapa umetegeka /umetegwa
 
South: Wewe kwa jambo hili unapata ujumbe gani? Binafsi naona ni kuingilia mamlaka ya vyombo vingine tu. Ina maana walimkamata bila sababu? Kama vyombo vingine vya dola vitakuwa vinaingiliwa namna hii tutafika?
 
Kufanya kazi na mtu anayependa kujionesha yuko tofauti na mawazo ya wengi nishida sana...
ukifanya atakwambia acha na ukiacha atakuhoji kwanini hujafanya. Haka ni kaugonjwa kakurithi na kakujiendekeza,kanaitwa "Much know"
 
Nasikia akina Kibatala walijipanga kumtetea Ney. Mzee kajua ataangukia pua tu.
 
Boraa tu hzi ngazii zotee za uongozi za chini zisingekuwepoo maana jamaa ana ana cover kilaaa idaraa ...kwa kuwaonyeshaa anawezaa kuimudu nchi mwenyewee kaendaa mpk basataa ..usishangaee keshoo yupoo ndani ya nyumbaa yakoo anakupangiaa mpk ulee miloo mingapi kwa ckuu..
Kila baya wanalifanya watendaji wa serikali hata wale wa chini wasiopeleka taarifa za utendaji wao kwake analaumiwa yeye. Akiwasaidia wanaoteswa na hawa watendaji analaumiwa yeye kwamba maagizo ya kukamtwa yametoka kwake dikteta. Watanzania mnataka nini? Huu ndio upinzani wenyewe au tabia za akina James D na Kaoge? Zitto nae nilikuwa namkubali lakini siasa za kitoto hizi naanza kumtoa maana.
 
Watanzaniaa tunatakaa maendeleoo mkuu c habarii za kishambaa kamaa hzoo rais unaangaikaa na wakinaa ney ilii iwejee iv unamkumbukaa romaa na ngomaa zakee kipindii cha jk ulishamsikiaa jk akiongeleaa chcht au alikiuwaa anafanyaa yakee kamaa rais .....kiukwel walioamuaa magu awee rais hawakuwaa sahihi hataa kidogoo nchii anaiongozaa km vilee anaongozaa families yakee ....kiufupii hanaa jipyaa ........2020usinipangiee.........
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] kwakeee urais anaonaa km vilee ni kuongozaa gengee LA wahunii flan au familiaa ya watoto watanoo...hanaa kbs karamaa yakuwaa kiongozi wa nchii
Wateule wake wamebaki kama picha tu katika nafasi zao wakitoa tamko baadae unakuta katengua
 
...hivi ni kwa nini hakutoa amri kama hiyo pale alipokamatwa MHESHIMIWA LEMA.....!? Yaani ni na mashaka makubwa juu ya MAAMUZI ya huyu Mkuu...
Kuna tatizo kubwa kuliko tunavyojua dhania
 
Aiwish ikudibi oni fronti futi ! Magufuli hoyeeeeeee.mzee wakuchukua form mwenyewe,kujipigia kura mwenywe,nakujipa uraisi mwenewe.hakika magufuli,weka mbali na mtt. Umetisha mutakatifu wetu kwa hili la ney wa mitego.hakika hapa umetegeka /umetegwa
Hapa kajipiga kanzu mwenyewe usikute hata ye anashangaa kwa alichokifanya
 
kuna mtu hapo angeenda akafeli. tulidanganyika sana kipindi anatupiga changa la macho ati amehesabu samaki wa baharini anawajua kwa namba alafu anatutajia, kumbe hamna kitu aisee.
Hata majina ya wakuu wa mikoa anakwambia alilala saa nane kukagua vyeti kuhakikisha anateua wenye sifa stahiki lakini Bashite na vyeti vyake alitusua
 
South: Wewe kwa jambo hili unapata ujumbe gani? Binafsi naona ni kuingilia mamlaka ya vyombo vingine tu. Ina maana walimkamata bila sababu? Kama vyombo vingine vya dola vitakuwa vinaingiliwa namna hii tutafika?
Mkuu hapa hakuna la kushangaa kwani limekua jambo la kawaida kwake, jaribu kukumbuka tamko la aliyekua waziri wa sheria na katiba Dr Harrison Mwakyembe kwamba bila cheti cha kuzaliwa hakuna ndoa muda mfupi baadae rais akatengua. Kwahiyo hili lililotekea leo linaonesha jinsi gani kajipa madaraka ya kufanya analoamua yeye tu na si mtu mwingine
 
Kufanya kazi na mtu anayependa kujionesha yuko tofauti na mawazo ya wengi nishida sana...
ukifanya atakwambia acha na ukiacha atakuhoji kwanini hujafanya. Haka ni kaugonjwa kakurithi na kakujiendekeza,kanaitwa "Much know"
Kweli mkuu ni much know hadi ana haribu sasa
 
Nasikia akina Kibatala walijipanga kumtetea Ney. Mzee kajua ataangukia pua tu.
Hii kesi ingeenda mahakamani Bashite angejithibisha na nguvu ya kudai vyeti ingeongezeka na ndugu yake na Yesu tungemfahamu kwa kifupi ilikua inaanika kile wanachokificha
 
Back
Top Bottom