South
JF-Expert Member
- Jan 11, 2016
- 3,513
- 5,144
- Thread starter
- #61
Kawafanya wawe hivyo wanafanya kumfurahisha kama ambavyo yeye anapenda so usilaumu wanaomkosoaKila baya wanalifanya watendaji wa serikali hata wale wa chini wasiopeleka taarifa za utendaji wao kwake analaumiwa yeye. Akiwasaidia wanaoteswa na hawa watendaji analaumiwa yeye kwamba maagizo ya kukamtwa yametoka kwake dikteta. Watanzania mnataka nini? Huu ndio upinzani wenyewe au tabia za akina James D na Kaoge? Zitto nae nilikuwa namkubali lakini siasa za kitoto hizi naanza kumtoa maana.