Rais amchagua Abdala Mtonga kuwa Internal Auditor General

Who's give power to kikwete to put people any where he want? Constitution Constitution Constitution is only way to stop this joke. These people keep changing offices and screw everything they go and cover their trails, as far as I know why not nominate Ridhiwan to be Minister of Treasure? Thats what kikwete real want...

I concur with u,I think for crucial position lyk this,they should advertise so any1 with qualification can apply! Then the final 3 myb should be taken to him so he cn nominate 1 person who will b approved by the parliament! Just to stop him from nominating pple he cn control n intimidate
 
Anafanya uteuzi wa maustaadh chapchap kabla katiba haijafanyiwa marekebisho kumzuia kuteua hovyo hovyo!
 
kuna tetesi zimezagaa kwamba jk amemteua bwana abdala mtonga kua internal auditor general. kama ni kweli nazan uteuzi wake utakua mzuri mana jamaa alikua afisa masuhuri wa ofisi ya CAG na pia alikua mkaguzi wa kanda hapo hapo. ni mtu safi asiyetaka ujinga ujinga kwenye utendaji wa kazi. ttz lako ni muoga kufanya maamuzi. myb anaweza kuleta utofauti kwenye hii ofisi mpya iliyounda

anachukua nafasi ya nani? je hiyo ofisi ina nafasi ya kujenga msikiti?
 
Mwislam Safi, ulamaa aneyejua kazi yake na misingi ya uislam, hongera JK kwa uteuzi huu.

unamatatizo sana sasa dini yahusu nini hapa?? Kwani mafisadi waislam hawajui mising ya uislam?? Ma alhaji wamo kwenye kwenye list of shame. Kushika din sio kipimo cha uadilifu hata masheikh wapo wachawi kama yahaya.
 
kuna watu wachokozi humu jf sijui watumwa sisemi maana siwaeliwi, "Kwa hiyo anaenda kukagua vitabu vya hesabu za misikiti au bakwata?"
 
Tafadhali mwenye sheria inayoanzisha ofisi hii ya Internal Auditor naomba anibandikie..
 
Mh!!,ndugu zetu wataula sana admistration hii!,sina zaidi la kusema!

Mambo yanaenda kwa zamu kila siku vizuri mle nyie tu na bado, Tunataka na katibu mkuu Ikulu General wa jeshi na UCHAGUZI MKUU UJAO RAIS ATOKE ZANZIBAR VYOVYOTE IWAVYO!:israel::happy:
 
Ni uhakika kwamba Ustaadh, Alhaji Abdallah Mtonga ndiye Internal Auditor General. Mimi namfahamu kama mtu mwadilifu na mchapakazi na anaijua kazi yake ya auditing. Anaenda kuanzisha ofisi mpya kwa maana hiyo atakuwa na changamoto nyingi wakati huu wa ufisadi katika ofisi za serikali kuanzi serikali kuu hadi serikali za mitaa.

asalm aleikum

Tafadhali mwenye sheria inayoanzisha ofisi hii ya Internal Auditor naomba anibandikie..

Mimi pia nahitaji hiyo sheria kwa kweli maana kama sielewi hivi, kwani Controller and Auditor General (CAG) pia anafanya audit kwa kuwa internal audit ni sehemu ya audit. Nahisi kama hatujuwi tunachofanya hapa sana sana tunazidi kumwongezea mzigo masikini mlipa kodi (nchi hii inaendeshwa kwa PAYE) pasipokuongeza efficiency yeyote kama tulivyofanya kwenye EWURA, SUMATRA na upuuzi mwingine unaofanana na huo.

Ni nani amesema kwamba tatizo letu ni kutokufanyika kwa audit? Hili si kweli kwani kila mwaka CAG anareport upotevu wa mabilioni na hakuna kinachofanyika, reports zake tunaishia kufungia vitumbua Kwamtogole.Tungekuwa serious kufanyia kazi reports na recommendations za CAG wala tusingehitaji ofisi mpya ya internal audit, huu ni upotevu wa pesa usio na sababu.
 
I concur with u,I think for crucial position lyk this,they should advertise so any1 with qualification can apply! Then the final 3 myb should be taken to him so he cn nominate 1 person who will b approved by the parliament! Just to stop him from nominating pple he cn control n intimidate

Mbona hamkuyasema hayo Mkapa alipokuwa Raisi, au kwa kuwa alikuwa Mkristo mwenzenu!? Mfumo Kristo Bwana! Mtu anakuwa na Chuki bila sababu kwa sababu rais Muislamu! Nchi hii yetu sote rais akiwa muislamu ataamua kadri ya uwezo wake na akiwa mkristo ataamua kwa kadri ya uwezo wake!:happy:
 
Mimi pia nahitaji hiyo sheria kwa kweli maana kama sielewi hivi, kwani Controller and Auditor General (CAG) pia anafanya audit kwa kuwa internal audit ni sehemu ya audit. Nahisi kama hatujuwi tunachofanya hapa sana sana tunazidi kumwongezea mzigo masikini mlipa kodi (nchi hii inaendeshwa kwa PAYE) pasipokuongeza efficiency yeyote kama tulivyofanya kwenye EWURA, SUMATRA na upuuzi mwingine unaofanana na huo.

Ni nani amesema kwamba tatizo letu ni kutokufanyika kwa audit? Hili si kweli kwani kila mwaka CAG anareport upotevu wa mabilioni na hakuna kinachofanyika, reports zake tunaishia kufungia vitumbua Kwamtogole.Tungekuwa serious kufanyia kazi reports na recommendations za CAG wala tusingehitaji ofisi mpya ya internal audit, huu ni upotevu wa pesa usio na sababu.

Unajua kazi za Internal Audit au unaongea! Pitia public finance act ya 2001 kipengele namba 16:bange:
 
Back
Top Bottom