hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 54,381
- 80,388
Haha huyo yupo ..... anateseka tuHaaaaaaa kumbe kiumbe hiki bado yupo dunianii?
Sent using Jamii Forums mobile app
Haha huyo yupo ..... anateseka tuHaaaaaaa kumbe kiumbe hiki bado yupo dunianii?
Nilitegemea nikutane na hizi specie .... Jamii Forum katika ubora...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Haaaaa daaah kweli malipo hapahapa duniani, ngoja tusubiri bongo Kuna baadhi wakistaafu wataishi km mashetani
hahaha jamaa kafulia kama vile hajawahi kuwa president ..maisha yake na yangu mimi Darasa la saba B ...yangu yana nafuu . .ama kweli no 1 knows tomorrow ....hata hivyo ni jasiri Sana ningekuwa mimi ndiye yeye ningekuwa nimeshakufa kwa stress tayariHaaaaa daaah kweli malipo hapahapa duniani, ngoja tusubiri bongo Kuna baadhi wakistaafu wataishi km mashetani
Wanauchumi wanasema raslimali hadimu ,mahitaji mengi (unlimited needs ,scarse resource) hivyo uchumi unachuja mahitaji yapi kutoshelezwa na rasilimali hadimu zilizopo.Wanasisa wamebuni njia mbadala ya kugawa rasilimali, miswada tata ya kujipendelea inayopitishwa kwa kishindo cha ndiooooo. Mtanzania anaambulia manyoya kuku ameliwa na wakubwa.Haaaaaaaa Mkuu sema tu nchi za Afrika zinapitia magumu maana Hadi Sasa bado tTUNABOKKASANA tu, viongozi wanakula kuku kwa mrija wananchi tunakula manyoya tu