Safari_ni_Safari
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 23,268
- 17,099
Si wangekaa mezani tu na akawahutubia? Dais la nini tena?
Halafu wanashea kiti kilekile?
Mkuu nadhani hawajashea kiti kuna kiti hapo kulia kwa Membe kiko wazi nadhani ndo cha anayehutubiaSi wangekaa mezani tu na akawahutubia? Dais la nini tena?
na inaonesha mpiga picha alikuwa amedhamiria kupiga meza kuu tu ila kuna waalikwa wengine, angalia anakoangalia huyu mzunguHalafu wanashea kiti kilekile?
na inaonesha mpiga picha alikuwa amedhamiria kupiga meza kuu tu ila kuna waalikwa wengine, angalia anakoangalia huyu mzungu
Mkuu nadhani hawajashea kiti kuna kiti hapo kulia kwa Membe kiko wazi nadhani ndo cha anayehutubia
Hivi huyu jamaa anayekaaga nyuma ya JK siku zote huwa anakaaga chini saa ngapi? Kazi ya upambe ni ngumu sana.