Rais Akihutubia Watu Wanne Tu!!!

Safari_ni_Safari

JF-Expert Member
Oct 5, 2007
23,273
17,096
Si wangekaa mezani tu na akawahutubia? Dais la nini tena?

j4.jpg
 
hawa jamaa nao choka mbaya sana...nilishawahi pita karibia na ubalozi wao pale mikocheni B yaani utafikiri nyumba ya mbongo wa kawaida..ndio maana hata imebidi kwa bosi kushea nao kiti maana hawana cha kutupa...
 
Mkuu nadhani hawajashea kiti kuna kiti hapo kulia kwa Membe kiko wazi nadhani ndo cha anayehutubia

Hivi huyu jamaa anayekaaga nyuma ya JK siku zote huwa anakaaga chini saa ngapi? Kazi ya upambe ni ngumu sana.
 
Hivi huyu jamaa anayekaaga nyuma ya JK siku zote huwa anakaaga chini saa ngapi? Kazi ya upambe ni ngumu sana.

Ni ngumu kwelikweli........imagine mpambe wa PEDEJEE anatakiwa amsubiri mukubwa akiingia ndani na mrembo mpaka wamalize!!
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom