Mkuu kwani ni wapi kwenye constitution imeandikwa rais ni lazima awe kijana?In RED, you mean unwritten constitution bila shaka!
Hapo sasa.Poleni sana mliopiga kampeni kwa rais anayeondoka, maana nyie ndo pengine mtakaosababisha kigezo hiki kiwekwe maanani ili kulinda umoja na mshikamano wetu kama Taifa!Naami akikaa kafiri kwenye urais waislam watapata misukosuko mingi sana,muembe chai na kule pemba ni ushahidi tosha.
Umebadili kambi?
Ninauhakika kila dhehebu lina uwezo wa kutupatia rais mzalendo na asiye fisadi!Ilikuwa Kijana sasa linakuja suala la dini. Rais atachaguliwa kwa mujibu wa katiba, full stop. Vigezo havitaangalia, ujana, uzee, dini, jinsi na mambo kama hayo.
Rais fisadi hata awe wa dini gani au mpagani, hanufaishi watu wa dini yake. Ufisadi unaadhiri watu wote bila kujali dini, jinsi au umri wao. Mimi mkristo lakini bora aje Rais muislamu muadilifu kuliko mkristo fisadi!
Mkuu, ni kweli inawezekana ikawa siyo hoja kwa maoni yako.Lakini hili jambo lipo wazi kabisa!Ukristo au uislam si ipoja, hoja ni yule mbeba dini na kuingia nayo ikulu. Ukibalance mambo ya dini tena hasa ukiyaignore na kuwathamini wote pasi kubagua, Tz wil remain a peaceful country 4ever ever
Hata Kijana, kuanzia jina ni Christian name, mama ni Christian, Mke ni Christian, watoto ni Christian, na kanisani ataingia!. Uislamu wake ni kwa Baba tuu kama alivyo Baraka Hussein!. He is fit in every aspects!.
Pasco
Katiba ya zamani haijaandika kubadilishana wala hatutapitisha hata kwenye rasimu haipo. Mwaka 2015 sio wa hija za kikirsto hata tutake rais mkristo.
Haya ni maoni ya kutaka upendeleo wa namna fulani ndo umetufikisha hapa. Mara Nyerere alipendelea wakristo, mara Kikwete anapendelea waislamu. Kwetu muhimu ni kiongozi atakayeongoza kwa msingi wa katiba na utaratibu. Wakiongozana waislam kumi wasio mafisadi na wenye kujali mahitaji ya wananchi bila kujali imani zao itakuwa vyema, hivyo hivyo hata kwa wakristo. Hizi kelele ni ombwe la usawa ndo maana wadini hufikiri akija wa namna yao watapata ahueni kwa kuwapendelea.
Na utu uzima wangu huu sijaona rais bora kwa mkristo wala muislam. Tupanuke kifikra nje ya macho ya upendeleo, utu wEema, uadilifu ni haiba ambazo wanazo hata wasioingia makanisani na msikitini wakiwa heri kuliko mashekh na makasisi wanaotusalisha.
Pamoja na kwamba lengo langu halikuwa kuwajadili wagombea wa ccm, bado nadhani ni muhimu kabisa kupata kiongozi atakayekubalika na dini zote!kwa kweli, una ka point. Ila kuliko mamvi bora haka ka utaratibu kasifuatwe.
Mkuu unwritten constituion ni tofauti na unwritten rules! Kuna wakati sikuiona hii thread nilipo t aka kuijibu hii hoja yako.Nikaanzisha thread nyingine ambapo nilifafanua utofauti huo!In RED, you mean unwritten constitution bila shaka!
Mkuu pitia tena mada usome kwa utulivu ili upate kuelewa! Dini siyo kigezo cha urais! Ila tunaweza kupata wenye vigezo vya kuongoza ktoka kwenye hizo dini!Baada ya kuhitaji raisi atakaeleta mafanikio ndio kwanza mnahitaji raisi wa dini fulani.
Basi muwekeni kakobe
raisi ajaye ni dokta slaa hao wengine wanajisumbua kupoteza muda wao bure
Kwa wakristo Hata Wakiongoza Waislamu 200,Haina shida ILA KWA WENZETU "MFUMO KRISTO"Utawaka MOTO NA PATACHIMBIKA.....