Rais ajaye akitokea Bara

Hebu angalieni:

1. Msuya alipendelea kwao Mwanga- Kilimanjaro akaweka umeme, maji shule na hata leo wamefungua benki.

2. Chenge Tabora: aliiba akaweka pesa (vitijsenti) nje ya nchi!

3. Mkapa: amehama kwao Masasi akaenda kujenga Palace Lushoto!

Mzee wa vijisenti na Msuya wametoka bara! Mkapa anatoka Mtwara!

Sasa nani ana akili hapo??
 
Kuna baadhi ya maoni kutokana na uvundo na uozo wake wa hoja hayana haja hata kuyajibu, na ndio nilichoona kutoka kwa mwandishi wa hii mada. Je kesho atakuja na listi ya Mafisadi na Mikoa waliyotoka na kuelezea ni jinsi gani sehemu walizotoka zimechangia kwa wao kuwa mafisadi? Sidhani kama kuna uwiano wowote kati ya sehemu mtu aliyotoka na uwezo wake katika uongozi au umahiri wake katika ufisadi na ujambazi. Mwandishi wa hii hoja ni mufilisi kichwani.
Inaonekana kuwa wewe ndio muflisi. na huna subira. Unachotakiwa ni kupinga wazo hilo lakini siyo kama unavyofanya bali ni kwa kuleta mfano wako mathalani wa yule aliye muadilifu (wa mfano) kutoka Mkoa huo huo ambao mwenzio amesema kuna fisadi wa kutupwa. Hoja Mzee!!!!!!!!!!!!
 
May be UVIVU wao ndio umewaepusha .....JOKE......

Kandambilimbili,

Hiyo imekaa safi sana. Watani wangu watu wa Pwani kweli ni wavivu. Utasikia akina mama wanasema "Mwaka huu nimepata chupa zangu saba za mpunga, nimevuna sana mwaka huu...."

Hiyo yako hapo juu inanikumbusha story wanawake Ma-blondy. Hawa husifika sana kwa kuwa wajinga kupindukia. Kwa mfano eti kukiwa na baridi basi hukimbilia kwenye kona kwani hapo kuna nyuzi 90. Sasa kuna moja inasema eti ukipanda na wanawake wawili kwenye gorofa refu, mmoja brunette na mwingine Blondy na kuwashika miguuni na kuwarusha wote, ukifika chini utakuta maiti ya Brunette tu maana yule Blondy ni mjinga kiasi kwamba atakapokuwa anaanguka, hapo katikati ATAPOTEA.
 
kwani bara ni wapi na pwani ni wapi??...

maana hata pale mwanza na kigoma na huko mbinga kuna watu wanaitwa watu wa pwani...ndioooo...wanaishi kandokando ya maziwa makubwa ambayo kwa nchi nyingine yanaweza kuitwa bahari.....

kwani pwani ya mwanarumango au kibaha na kigamboni ya dasalamu wapi ni pwani na wapi ni bara???...mbona ukerewe ya ziwa victoria ni kisiwa tu kama ilivyokuwa pemba, unguja na mafia....tutumie akili za akili zetu kujadili hili
 
Inaonekana kuwa wewe ndio muflisi. na huna subira. Unachotakiwa ni kupinga wazo hilo lakini siyo kama unavyofanya bali ni kwa kuleta mfano wako mathalani wa yule aliye muadilifu (wa mfano) kutoka Mkoa huo huo ambao mwenzio amesema kuna fisadi wa kutupwa. Hoja Mzee!!!!!!!!!!!!

Hilo lilikuwa ni jukumu la mwandishi wa hoja kufikiria kabla ya kuandika pumba zake hapa, kauli mbiu ya JF ni Home of Great Thinkers na sio Home of Great Idio.ts. Alichokifanya huyu mwandishi ni kuja na generalization na stereotypes kuhusu watu wa Pwani ambazo hazina ukweli wowote bali zilizojaa chuki, dharau na ufisadi hoja wa hali ya juu huku akijaribu kushawishi watu wachangie kwa hilo, mtu akileta pumba naye basi hujibiwa pumba.
 
The faltering foolhardy fallacies infectiously and irresponsibly invoked by these cantankerous and cancerous - not to mention preposterous - prostituted propositions personifies poorly packaged pugnacious pugilism sans pragmatic positions.

The bold buffoonery and stark small-mindedness, punctuated by poisonous propagations of potions of purposeless problematic politicking, clearly constitutes nauseating notions whose consumption can easily pose a remediless risk to our nurtured national security.
 
Last edited:
The faltering foolhardy fallacies infectiously and irresponsibly invoked by these cantankerous and cancerous - not to mention preposterous - propositions personifies poorly packaged pugnacious pugilism sans pragmatic positions.

The bold buffoonery and stark small-mindedness, punctuated by poisonous propagations of potions of purposeless problematic politicking, clearly constitutes nauseating notions whose consumption can easily pose a remediless risk to our nurtured national security.

write english please!
 
cha ajabu katika hizi kesi za MAFISADI sijaona hata mtu au mwanasiasa mmoja wa Pwani aliyekamatwa au kufikishwa mahakamani

says alot about the so called waliosoma na wenye kujua kilakitu mnaowapigia debe from bara

Jamaa mmoja wa EPA anatoka pwani ya Kigoma he he he!!
Pwani ni Pwani mura
 
YIKES!, what di you just say?
Yakhe tuelimishe.

Nikifursika kwa utovu-shughuli huhusudu lahaja ya Dickens ya zama iliyorogwa na msongo wa kujitoa katika ujuvi-shoto kishenzi.

Some of these do not belong in the Euclidean realm of the space-time continuum.I'm just shorting this byach.
 
Basi yakhe ! mikono na miguu juu!! Walah lugha kwako imepanda!
 
Tatizo mlilonalo mashindwa kusoma kwa kina na kupambanua yepi ni sense na yepi ni nonesense. Hivyo inanibidi wengine tuende nao hivyo hivyo.
Kipimo ,Salim Ahmed Salim,Dr.Omar Ali Juma (Marehemu), & Mzee wa Mikasi Mr.Shein ,Mkuu wa upinzani Bungeni Hamad Rashid na bila ya kumsahau Seif Sharif Hamad kwa wale waliosema niwataje wachache kutoka Pemba na wapo wengi tu ,Hivyo mnaweza kuwapima watu hao katika himaya zao za uongozi.

Ila jaribuni kupambanua ,mwalimu mzuri ni yule anaesomesha na baadae akawafurahisha wanafunzi wake kwa hadithi za hapa na pale.
 
SMZ washakwambie mamuzi yajayo yanayohusiana kupatikana kwa RAIS wa United Repulic Of TANZANIA ni lazima apatikane kutokea upande wao. vyenginevyo uwamuzi wao mnauelewa kama ule waliokutamkieni kule DODOMA na kurudi washindi,wanasema maji wamesha yavulia nguo.
 
Katika zama hizi kweli tunahitaji kuanza kupembuana kwa mazingira na mandhari ya mahala tulipozaliwa na/au kukulia? Hii si ni sawa na wale wanaosema kwamba shughuli anayoiweza Mswahili nikiwa na maana ya Mwafrika ni kucheza ndombolo yaani kuburudisha tu na kamwe si shughuli kama ya kuongoza wengine na kufikiri kama ambavyo wanasayansi wanavyofanya? Hii ni hatari sana kama katika karne ya 21 bado tunathubutu kufikiri katika mtindo huo kwani inaweza kuashiria mtindio fulani hivi.
 
Kipimo ,Salim Ahmed Salim,Dr.Omar Ali Juma (Marehemu), & Mzee wa Mikasi Mr.Shein ,Mkuu wa upinzani Bungeni Hamad Rashid na bila ya kumsahau Seif Sharif Hamad kwa wale waliosema niwataje wachache kutoka Pemba na wapo wengi tu ,Hivyo mnaweza kuwapima watu hao katika himaya zao za uongozi.
Yakhe Mwiba , mbona sample space ya viongozi mahiri kwa upande wako ni finyu sana?
Na wote wanatoka Pemba!
 
Asanteni kwa kuja na kujadiliana. Mliotumia matusi, uhuru wenu mnaweza kuendelea hasa kama mnajadili wazo, japo jazba zinaweza kukufanya ufikiri kidogo. Nimeleta hapa mawazo halisi ambayo yapo kwenye jamii yetu. Kukwepa kujadili baadhi ya mambo kama haya si vyema, ni busara ndogo.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom