goggles
JF-Expert Member
- Apr 1, 2017
- 2,415
- 2,358
HahahahaaNi kweli, kwenye list tuongeze kanda ya magharibi mikoa ya Katavi, Tabora na Kigoma. (namuona Zitto akitabasamu.)
Waha wanafiki mkuu
HahahahaaNi kweli, kwenye list tuongeze kanda ya magharibi mikoa ya Katavi, Tabora na Kigoma. (namuona Zitto akitabasamu.)
😂😂😂😂kina ndugai na kibajajUongozi na wagogo wap na wap mkuu?
Hahahahaa
Waha wanafiki mkuu
Atakuwa TuliaAtakuwa ndugai 2025.
Hyu uliemtaja hawezi kutoboa mpk 2025 kabla the man himself izrael hajafanya yake.Atakuwa ndugai 2025.
Acha utani [emoji2960]Hyu uliemtaja hawezi kutoboa mpk 2025 kabla the man himself izrael hajafanya yake.
Uliwaona wapi.Issue ya Dodoma kutoa Rais inatoka wapi?tunachoangalia ni sifa si ukanda halafu bado mapema Sana kujadili issue hizo.Kwa Sasa tuna angalia mengine.Kamda ya magharibi alitoka Rais gani mkuu??
Naona pia tusiende kwa ukanda tuende kwa uweledi. Hata akitokea wa kanda ya ziwa mwingine 2025 tumpe tu waendelee kutunyooshea nchi maana hawa watu kwa kujisimamia wako vizuri
Kabudi KabudiAtakuwa ndugai 2025.
Mimi nitaikimbia kwetu kanda ya katiAtakuwa ndugai 2025.
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]ikimpendeza Mungu na iwe hivyo kweliHyu uliemtaja hawezi kutoboa mpk 2025 kabla the man himself izrael hajafanya yake.
Kabudi ni mwislamu!? Coz awamu ijayo rais atakua muuslamuKabudi Kabudi
Acha kujilisha upepo wewe! Fuatilia mtiririko kuanzia baba wa Taifa mpaka sasa