Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,660
- 58,999
AgizoAmetii agizo la makonda
Uchaguzi mkuu umeshaisha mwaka jana na huu wa zanzibar umeisha leo, sasa Ukawa mjifunze kua na adabu kwa waliopewa mamlaka ya kutuongoza,Rais wa maigizo
Tuisubiri saa mbili ITV
comment yako haina tofauti Na avatar yako hongera sanaKuongoza kwa mfano....safi Mr. President...We lead by Examples...CCM inahakikisha kua Taifa linakua la amani, na kila mtu anapewa haki ya kulindwa na kujilinda vile vile, kama Rais naye kahakiki silaha, sisi ni kina nani tusifanye hivyo...
Haruhusiwi kuwa na silahaWakikukosakosa walinzi wake hata yeye anakulipua tu