Meya wa Ukawa angesema hayo angeenda????Kuongoza kwa mfano....safi Mr. President...We lead by Examples...CCM inahakikisha kua Taifa linakua la amani, na kila mtu anapewa haki ya kulindwa na kujilinda vile vile, kama Rais naye kahakiki silaha, sisi ni kina nani tusifanye hivyo...