Rais 2015 ni Prof.Lipumba toka CUF

Nimesema hivi! Kama hamtaki acheni! Lakini huo ndio ukweli!Mbinu zote za CDM tunazijua na ndio maana kwa mbinu iliyotumiwa kuingiza imani katika vichwa vyenu na kuwafanya kuwa vipofu! Mbinu mliyotumia kuiangamiza ndio mbinu itakayowamaliza kwani hata bible inasema atakaye ua kwa upanga na yeye atauawa kwa upanga! CDM imekamata wahariri wote! Hivyo CDM acheni kujipa matumaini kwani siku sionyingi CDM itaporomoka kutokana na uozo uliomo ndani!

Wewe ni CUF au CCM? Mi sikuelewi ka hujui unachoropoka vile.
 
Kama shura ya maimamu imeamia magamba unatarajia nini tena na walikuwa ni squad yake kali ya kumpigia debe...........
 
hahahahahahaaaaaa...., imekula kwenu. huo mpango wa kuleta Muislam hautatudanganya tena watz bali tutaangalia uwezo wa mtu. Sasa mnahaha, mara rais awe mwanamke ili aje Migiro, mara rais atoke Zanzibar au awe Zitto, hatudanganyiki. Lipumba huyo ata akiend akwa Mganga wa kienyeji toka Nigeria. Alituwin jk, ana bahati nae.

Kwa hiyo wataka kutuambia raisi ajae lazima awe mkristo??
 
kuwa vizuri kielimu haimaaanishi pia ni mzuri ktk kuongoza watu,mi nadhani a gud leader lazima awe na qualities zaidi ya uewezo wake kielimu,hv sasa tunao wasome serekalini wengi bt doing practically nothing.
 
cuf haijafa na haitokufa nadhani itakayo kufa ni chadema tusubiri uchaguzi ufike tuone mpira huwa unadunda tuone zanzibar imeingia nusu fainali tusubiri bara mwaka huu ujionee mwenyewe
 
jee kumbe unataka watawale wacrito tu ndo ndoto yako halafu uvune nini baada wakristo kutawala kuwa makini tuchohita ni utanganyika na uzanzibari
 
nimesema hivi! Kama hamtaki acheni! Lakini huo ndio ukweli!mbinu zote za cdm tunazijua na ndio maana kwa mbinu iliyotumiwa kuingiza imani katika vichwa vyenu na kuwafanya kuwa vipofu! Mbinu mliyotumia kuiangamiza ndio mbinu itakayowamaliza kwani hata bible inasema atakaye ua kwa upanga na yeye atauawa kwa upanga! Cdm imekamata wahariri wote! Hivyo cdm acheni kujipa matumaini kwani siku sionyingi cdm itaporomoka kutokana na uozo uliomo ndani!

mkuu unapambana na cdm au ccm sikuelewi eeti!
Wanaoongoza nchi ni ccm mkuu tuwatoe ccm na si cdm!
 
Ebana true, cdm wataisoma tu ivi mnaijua tanzania vizuri nyie? Mchezo upo ktk sensa musione mashekh wajinga kutaka kipengele cha dini ktk dodoso la sensa! Cdm ni chama cha kanisa then Cuf nadhan mnajua wenyewe cuz wakongwe hao.. Kura ya maslahi wadau. KATU JK awezi kuwaacha cdm wapite kwa vyovyote mpaka 2014 cdm itakua chali mnachoona sasa.ni cdm nimwanzo tu . Na cdm walikua wanapata data kutoka Cuf kupitia Hamad rashidi.. LIPUMBA ANACHUKUA NCHI IKIWA TZ NI NCHI YA DEMOCRACY. Im out!
 
nasikitika na comment za watanzania ambao wanashindwa kujielewa kama nyny wote mlio comment hii title.Tanzania ya leo hatuitaji chama gani tunaitaji mtu gani mwenye uwezo wa kuongoza na kututoa hapa tulipo tufike pale tulipo stahili!! hatuitaji CHADEMA wala CUF wala CCM tunaitaji uwezo wa mtu kokote atakapo kuwa.Kwani CHADEMA wajinga hawapo?
wapo watu ambao hawafai kuwa viongozi na wapo CHADEMA.kama....i..un....a,CHADEMA wali msimamisha mtu ambaye hana uwezo hata kidogo


"acheni ushabiki wa chama nynyi watu wa CHADEMA,CUF,CCM mtakuwa wajinga mpaka lini?
"
 
Hivi bado anapata ile chenji toka Oman anayoigawa Maalim Seif bosi wake? Na bado katika foleni ya kuingia kwa Maalim anatangulia Ismail Jussa kisha ndo kina Lipumba na Wabara vibara wa CUF aka Sultani wa Zanzibar
 
Naona bado uko usingizini unaota njozi....yaani chama chenye mbunge mmoja huku Bara
kinawezaje kuchukua nchi? Labda atakua Rais wa Buguruni kwavile pale ndipo ilipo makao
makuu ya CUF....RIP CUF!
,Mkuu yaani katika watu waliochemka ni huyu mtu, hajiamini ndiyo maana huwa anaomba kura kupitia nyumba za ibaada,Nakumbuka aliwahi kuapishwa na kuweka mkataba na dini furani, wampigie kampeni,akipata urais awatimizie matakwa yao ya kidini. Yaani mahakama ya kadhi na Tanzania kuwa jumuiya ya kiislam.Nikifika hapa napata mashaka makubwa na uprofessor wa huyu mheshimiwa.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom