thetallest
JF-Expert Member
- Oct 21, 2017
- 8,271
- 9,116
Yan Magu anachokitafuta Kenya atakipata!
Na ndivyo inavyoonekana.Nafikiri ingekuwa busara kama ziara hii angeifanya chattle. Hii kuja Dar unaweza isisomeke (kidiplomasia) vizuri kwa majirani zetu wamendwa!
Ili iweje?Naomba usiku na mchana walianzishe manyang'au wauchukue mlima, wachukue na ngorongoro.
Utajua tu itakavyokuwa.Ili iweje?
Anachochea vijana wasiojitambuwa wanauwawa yeye anakuja Darisalama kunywa supu ya pweza magogoni.Wewe ni jinsia ya kike?
Kuna Tatizo gani Magufuli kutembelewa na Raila Odinga alieshindwa na Uhuru Kenyatta?
Tena Mahakama ndo imesema kashindwa, na Raila Odinga ndo mmoja wa waasisi wa Mahakama hiyo!
Uchaguzi Kenya umekwisha na maisha lazima yaende
Akili ya kuambiwa changanya na zakoAnachochea vijana wasiojitambuwa wanauwawa yeye anakuja Darisalama kunywa supu ya pweza magogoni.
Huyu Odinga ni shetani kabisa.
VIPI WEWE UMEWAHI KUONA VITAC LIVE RISASI IKAKUPITIA HATA UMBALI WACFUTI SITA IKAKUKOSA UNGESEMA MENGINE SIYO HAYO LA SIVO WEWE ALSHABAB. KINGINE WOTE TUKUBALIANE U4AFIKI WAO USIWE NI MPAKA WAWE MARAIS AU MAWAZIRI. HIVO TUWAACHE NA TUSIFIKIRIE MAMBO MABAYA. JE UKIWA NA HUZUNI SI UNAENDA KWA RAFIKI YAKO? MBONA NI UBINADAMU?Naomba usiku na mchana walianzishe manyang'au wauchukue mlima, wachukue na ngorongoro.
VIPI WEWE UMEWAHI KUONA VITAC LIVE RISASI IKAKUPITIA HATA UMBALI WACFUTI SITA IKAKUKOSA UNGESEMA MENGINE SIYO HAYO LA SIVO WEWE ALSHABAB. KINGINE WOTE TUKUBALIANE U4AFIKI WAO USIWE NI MPAKA WAWE MARAIS AU MAWAZIRI. HIVO TUWAACHE NA TUSIFIKIRIE MAMBO MABAYA. JE UKIWA NA HUZUNI SI UNAENDA KWA RAFIKI YAKO? MBONA NI UBINADAMU?
Peleka ujinga kenya mnakipi tz mnachojishoo nacho ,,jaribuni tuwaonyeshe kwanin magu anajiaminiYan Magu anachokitafuta Kenya atakipata!
Kama anauwezo atajaribu na ninaamini uwezo wake upo kwa huko kenya ,na sio tzUhuru amshughulikie huyu mhuni