TANZIA Raila Amolo Odinga afariki dunia nchini India kwa mshtuko wa moyo

Chuma hicho kimelala 🙏🏽
 
Siku zote ukiona tu unakuwa na Uadui na Rais aliyeko Madarakani na anakuona Wewe ni Kikwazo Kwake na unampa wakati mgumu Kutawala kisha haraka sana anakuteua Nyadhifa fulani na kujifanya yuko karibu nawe jua ya kwamba Siku zako za Kuishi zimesalia chache kwani ni lazima tu ATAKUMALIZA ili atulie.

Kitendo cha Odinga ambaye alikuwa ni Mpinzani wa kuaminika wa Serikali za Kenya na hasa hii ya sasa ya Rais Ruto kiasi kwamba hadi Vijana za Gen Z walikuwa wakimsikiliza Yeye na bado alikuwa na Ushiwishi mkubwa wa Wakenya wengi wenye Maisha magumu kukubali kuwa pamoja na Serikali ya Kifisadi ya Ruto wenye Akili tulijua tu kuwa hatodumu kwani zile mbinu za Kirusi ambazo hazijawahi Kufeli zingetumika.

Mission Well Accomplished.
 
Mwenzetu amefanikiwa kuishi umri wa Kibiblia, miaka 80

Hivyo tunatakiwa kusherehekea maisha yake, Kwa kuangalia mchango wake katika Siasa na maisha ya Wakenya.

Mungu aipumzishe roho yake Kwa amani...

Zaburi 90:10​

"Miaka ya kuishi ni sabini tukiwa wenye afya, au themanini; lakini yote ni shida na taabu! Siku zapita mbio, nasi twatoweka mara"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…