Raia waua mwanajeshi Mbeya

Raia waua mwanajeshi Mbeya

Ok9

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2013
Posts
4,556
Reaction score
4,162
KUTOKA MBEYA:
Raia waua askari wa JWTZ Mbalizi mmoja na mwingine mahututi amekimbizwa hospital ya rufaa Mbeya section mmoja FFU iko eneo la tukio. Chanzo cha Mauaji na vurugu hizo ni wivu wa mapenzi askari katembea na mchumba wa raia.
 
Tumechoka,wacha wapigwe tu,awe polisiccm,jwtzccm wapigwe tu,tumewachoka
 
Raia wajiandae kwa mkong'oto wa haja huo mtaa.

Halafu kumbe mchumba tu!!!
 
kwani mjeda Sio RAIA?

huo ugomvi ni kati ya RAIA na RAIA na sio mwanajeshi na RAIA.!!
 
hatari sana
 
KUTOKA MBEYA:
Raia waua askari wa jwtz mbalizi mmoja na mwingine mahututi amekimbizwa hospital ya rufaa mbeya section mmoja ffu iko eneo la tukio. Chanzo cha Mauaji na vurugu hizo ni wivu wa mapenzi askar katembea na mchumba wa raia.

Kesho asubuhi utuletee taarifa ya raia wangapi wamepoteza maisha kutokana na kipigo cha JW!!
 
Maeneo ya Mbalizi haya matukio ni ya kawaida...

Tatizo kubwa ni watawala kuruhusu wanajeshi kuishi uraiani!!! Wanajeshi ni wafanyakazi wa umma wasiofanya kazi!!!!
 
kwa askari ni vita hiyo imetangazwa, huwa hawana muda wa kusubiri uchunguzi
 
Back
Top Bottom