Re: Raia Mwema na Tanzania Daima: Njama?
--------------------------------------------------------------------------------
Quote:
Tayari yameshatoka, na nimetoka na hii interesting quote hapa kutoka TZ Daima, guess who said it:
"Naomba nitoe wito kwa heshima kubwa na taadhima; Mhe. Rais na wenzako, hatutaki vitisho tena, hatutaki kushikiwa picha ya simba wa kuchorwa, na kwa hakika tumechoka na kibwagizo cha "tumepewa majina ya wahalifu" .
Kitila, unasema tayari yameshatoka wapi? katika web naona yapo matoleo yaliyopita. Raia Mwema liko la wiki iliyopita ikiwa na Story ya Dk Rashid na Kazaura na Tanzania Daima kuna story ya Zitto akisema, "Kuna njama".. Magazeti hayo Jumatano yametoka na habari tofauti, Raia Mwema likiwa na habari, "Mzimu wa Buzwagi wamvaa Mramba" na ingine ikiwa ni makala iliyoanza ukurasa wa kwanza isemayo, "Kikwete ageuka Vasco da Gama kwa safari za nje" na Tanzania Daima ikiwa na story za Ripoti ya REDET na ndani kuna makala ya kuvutia ya Mwanakijiji.