RAIA MWEMA: CHADEMA kwafukuta

Nikimuangalia Lissu kwa nje sio mtu wa tamaa kusema anataka uenyekiti! Ila issue hapa ni mkimzano wa mitazamo! Lissu, Mnyika na Heche hawa wanamuona Samia ni dhaifu na wanaweza kumchaanga sana wakapata kukubalika na chama kikapata wafuasi wakaleta upinzan mkali 2025! Ila Mbowe yeye kama yeye anaona hapana Mama hapaswi kutendewa hivo! Ijapokuwa Mbowe analinda maslah yake binafsi yasije kuguswa.


Azimio la Arusha:- mwanasiasa asiwe mfanyabiashara.
 
Wanandoa wanagombana, ndio iwe wao?
Sio kwa kwa style hii ya kuwachonganisha !! Wale ni werevu sana ! Ila labda kama wanavyosemaga wajuzi wa mipango kwamba Money speaks every language !!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…