Alihojiwa mbowe na lissu?Mwandishi alibalance story na makundi yote mawili yalihojiwa, ukweli ndio huo
Ndio na anapigiwa kura. Mama Samia alipata 98%
Mwandishi anaweza kuandika jambo lisilomoendeza mmiliki? Unahisi mwandishi wa Tanzania daima anaweza kuandika habari kama hiyo?Kwn mwandishi ni kubenea ??? Soma kaandika nani hiyo stori ndo uje kubwabwaja hapa ..kubenea ni mmiliki tu
Sent from my DRA-LX5 using JamiiForums mobile app
Ulitaka ziweje? Uhuru wa kutoa maoni haupo?Posts zako zote ziko against na chadema
Watanzania wote? Mbona sisi wengine wengi tu hatuitaki..Katiba Mpya ni kwa ajili ya Watanzania wote, sio sahihi kuikwamisha kutokana na mapungufu ktk Katiba ya Chadema.
Hayo maswali waulize raia mwema maana wao ndio wamesema walihojiAlihojiwa mbowe na lissu?
Walau, japo indirectly, unakiri kwamba lipo tatizo la kutokuvumilia mawazo mbadala...Binafsi sioni tatizo au ajabu kwa Mbowe na Lissu na wengine ndani ya Chadema kuwa na mitizamo tofauti kuhusu hoja mbalimbali.
..Tuwatie moyo Chadema ktk kujenga utamaduni wa kupambanisha hoja ndani ya chama chao.
..
Hiyo habari iko kibiashara tu na wala Haina madhara yyte kwa chamaMwandishi anaweza kuandika jambo lisilomoendeza mmiliki? Unahisi mwandishi wa Tanzania daima anaweza kuandika habari kama hiyo?
Haina madhara wakati kuna mpasukoHiyo habari iko kibiashara tu na wala Haina madhara yyte kwa chama
Sent from my DRA-LX5 using JamiiForums mobile app
Abadilike ili chadema iwe kama cuf na Nccr mageuzi??? Hiyo hatutaruhusu upimbi huo hata siku mojaWalau, japo indirectly, unakiri kwamba lipo tatizo la kutokuvumilia mawazo mbadala.
Mbowe lazima abadilike, haiwezekani kila mwenye mawazo tofauti aonekane msaliti.
Chadema kuna habari gani njema? Au zile za Mimi mbowe sijalamba asali?Hilo gazeti halitokaa liandike habari njema za chadema hata siku moja, atakayeiona habari njema kwenye hilo gazeti kuanzia leo anitafute.
Mpasuko uko kichwani mwako mdogo wangu.. chadema ipasuke ??? Thubutuuuuu [emoji23][emoji23][emoji23] wanawafariji tu na story za pwagu na pwaguziHaina madhara wakati kuna mpasuko
Habari njema kwetu ni program ya chadema digital tuChadema kuna habari gani njema? Au zile za Mimi mbowe sijalamba asali?
Sawa.Abadilike ili chadema iwe kama cuf na Nccr mageuzi??? Hiyo hatutaruhusu upimbi huo hata siku moja
Sera za uchumi zinazopondisha bei za bidhaa hasa chakula kwa watu wa kawaida hazifai. Maisha yanakuwa magumu kila uchao, machawa tu ndio mnafurahiaRaia Mwema wako sahihi!
Samia ameweka mazingira mazuri ya biashara na uchumi unafanya vizuri.
Kabla hajaingia madarakani benki zilikuwa zinapata faida kiduchu na zingine kufirisika kabisa!
Mwaka 2020 benki zote kwa jumla zilipata faida ya bilioni 200+ tu. Mwaka 2022 benki zote kwa jumla zimepata faida ya bilioni 1200+
Haya ni mafanikio makubwa mno ya sera za uchumi za Mh Samia!
Walau, japo indirectly, unakiri kwamba lipo tatizo la kutokuvumilia mawazo mbadala.
Mbowe lazima abadilike, haiwezekani kila mwenye mawazo tofauti aonekane msaliti.
Mpinzani wake ndani ya ccm alikuwa nani na alipata kura kiasi gnNdio na anapigiwa kura. Mama Samia alipata 98%
Anaandika tu si anafanya biashara???Mwandishi anaweza kuandika jambo lisilomoendeza mmiliki? Unahisi mwandishi wa Tanzania daima anaweza kuandika habari kama hiyo?