RAIA MWEMA: CHADEMA kwafukuta

Kuna mwandishi mmoja zamani akiitwa JAMES HADLEY CHASE Alikuwa mwandishi mahiri, lakini pia aliwahi kutoa angalizo: 'Believe This, You Will Believe Anything'!
 
Tumeona tittle kwa maana ya headline kuhusu CDM,habari ya kiuchunguzi inatakiwa iwe balanced story,imeshirikisha pande mbili,bahati nzuri wahusika wa makundi haya kwa maana ya vinara wapo,mwandishi alijaribu ku balance hiyo story au ndiyo hearsay kama sehemu ya propaganda?
 
Hili gazeti limelambishwa asali. Nimeona kwenye toleo la leo wakisema ongezeko la faida kwenye mabenki ni sababu ya kazi ya Samia, really?
Raia Mwema wako sahihi!

Samia ameweka mazingira mazuri ya biashara na uchumi unafanya vizuri.
Kabla hajaingia madarakani benki zilikuwa zinapata faida kiduchu na zingine kufirisika kabisa!

Mwaka 2020 benki zote kwa jumla zilipata faida ya bilioni 200+ tu. Mwaka 2022 benki zote kwa jumla zimepata faida ya bilioni 1200+

Haya ni mafanikio makubwa mno ya sera za uchumi za Mh Samia!
 
Mwandishi alibalance story na makundi yote mawili yalihojiwa, ukweli ndio huo
 

..Watanzania bado hatuna mazoea ya kutofautiana kimawazo au kimsimamo.

..Binafsi sioni tatizo au ajabu kwa Mbowe na Lissu na wengine ndani ya Chadema kuwa na mitizamo tofauti kuhusu hoja mbalimbali.

..Tuwatie moyo Chadema ktk kujenga utamaduni wa kupambanisha hoja ndani ya chama chao.

..
 
Chadema wana hoja gani?
 
Naona ramli chonganishi zinaendeshwa na vijana wa Lumumba [emoji23][emoji23][emoji23] , mtasubiri sana aisee.. chadema ni moja niwaambieni ndg zangu . Chadema haijawahi kuwa mbili wala tatu . .. chadema sio kama cuf wala Nccr mageuzi..ukileta ujuaji tuna kuminua faster bila kujari una nguvu kiasí gn ndani ya chama . Muulizeni Zitto kabwe .. huwezi kuanzisha chama ndani ya chama alafu tukuchekee ... Lissu na mbowe hawawezi kupingana hata siku Moja nawaambia .. kifupi mko chini ya mwarobaini mkisubiria embe lidondoke

Sent from my DRA-LX5 using JamiiForums mobile app
 
Gazeti la raia mwema ni la lumumba?
 
..Chadema wana hoja nyingi lakini ya muhimu kuliko zote ktk kipindi hiki ni Katiba Mpya.
Katiba mpya?? Badilisheni kwanza katiba yenu, mwaka wa 20 huu mwenyekiti yuleyule
 
Katiba mpya?? Badilisheni kwanza katiba yenu, mwaka wa 20 huu mwenyekiti yuleyule

..Katiba Mpya ni kwa ajili ya Watanzania wote, sio sahihi kuikwamisha kutokana na mapungufu ktk Katiba ya Chadema.
 
Kuwa chama kimoja hakumaanishi wote mna mawazo sawa,tofauti za kimtazamo ndizo huwaleta watu pamoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…