Raia Mwema: Akina Masogange kuachiwa

Raia Mwema: Akina Masogange kuachiwa

mkuu kuna mambo yanasikitisha sana nchi hii, sijui walitaka vidhibiti gani,,.. mtu ajitwishe mzigo woote huo kirahisi rahisi tu kama siyo dili.. baasi hakuna maana ya kupambana na hawa wauza madawa ya kulevya.. hizo fedha tupeleke mashuleni tukachonge madawati... nchi inakela sana hii mkuu., angalia multiplier effects ya huo mzigo kwa vijana wetu.. wangapi wanaangamia .... Nimeishiwa na nguvu kabisa.., kweli usicheze na mwenye pesa.. HAKI IPO MBINGUNI TU, HAPA DUNIANI NI BONGO MUVI KWA KWENDA MBELE.., FEKI, FEKI, FEKI...

Walitaka wawakamate na nn ndio waamini kuwa wale ni wauwaji??
 
Duh!...kama ni hivyo itakuwaje kwa wafanyakazi waliosimamishwa kazi kwa mbwembwe nyingi pale jnia!..kunakosa kumsaidia mtu kusafirisha panadol?
Kweli watz wakali!..ile ya hongkong jamaa aliimaliza chapchap kisha akarudIi na dogo,hii nayo aliizukia kwa siku moja tu mkwe huyooo anatoka
 
.....
Raia Mwema
limekosa taarifa za kwa nini vyombo vyote vya habari vya Afrika Kusini viliripoti kwamba dawa walizokutwa nazo zilikuwa ni Methamphetamine lakini sasa taarifa mpya zinataja kuwa ni Ephedrine.
......
Na hapa ndipo palipo na habari muhimu ya ...yakuelekea kuwatia hatiani wahusika wa kuu waliofichika nyuma ya Masogange.
 
Tanzania ni lazima uipende km ilivyo. Ukiamua kudig deep kidogo tu lazima uzimie. Yaani kila kitu sarakasi
 
Duh!...kama ni hivyo itakuwaje kwa wafanyakazi waliosimamishwa kazi kwa mbwembwe nyingi pale jnia!..kunakosa kumsaidia mtu kusafirisha panadol?
Kweli watz wakali!..ile ya hongkong jamaa aliimaliza chapchap kisha akarudIi na dogo,hii nayo aliizukia kwa siku moja tu mkwe huyooo anatoka

Zitakiwa njia "zisizo rasmi" kukabiliana na kutokomeza bihashara ya mihadarati...njia zilizo rasmi ....mpaka sasa zinaonekana ni kupotezeana muda tu.
 
Tafakarini kidogo kwanini mkuu wa KAYA ALIKATIZA ZIARA AKIWA KAGERA NA KUKIMBILIA S.AFRICA.Watu wamesha ahidiwa kupewa pori la BIHARAMULO HAPO then no kesi.
 
mziko ulikuwa wa mtoto wa dr airport....lazma waachiwe, yawezekana wasauth wamesha pewa vitalu mtwara.
 
Majina ya wauza madawa ya kulevya ninayo, ila ninawapa muda wajirekebishe!
 
Kuna maelfu ya watanzania wanakamatwa na madawa nje, kwanini serikali ya CCM imeipa kipaumbele kesi ya hawa masista duu?
 
Kwenye safari nyiiiingi za mamba,hapakosi kuwa na kenge
 
Tanzania Tanzaniaaaaa, nakupenda moyo.woteeeeee.....

Inji yangu Tanzania jina lako ni tamu sanaaaaaa.....

Nilalapo nakuota weweeee, niamkapo ni heri mama weeee...

TANZANIA TANZANIA......

MOLA AWE NAWE DAIMAAAAAAA....
 
Back
Top Bottom