Rai yangu kwa wana Arusha na CHADEMA

Rai yangu kwa wana Arusha na CHADEMA

At a time, one has to do the impossible, do what must be done...just for the sake of it.

There is no way ... It was, must and the only thing to be done ... to let those guys go ..and go away.. It has to be done...although it was the impossible thing to think of!

The party will be in a renewed outlook ... under any circumstance ..whatever the shape and the Impact after they have gone!

You can never ..ever ... GIVE IN!! to such a situation in any kind of management!!

All the necessary measures ..individual rights .. counseling..any kind of wisdom was totally and completely applied ...but to the vain!

The firm, total with full force decision .. has and must be taken ...and that is what happened and ready for any consequences.

This should be the lesson not to CHADEMA alone ..to all parties in the country... To make things on straight line ..you cannot deal dale ..to infinity ...it breads ... What you see around every body in the country ... is a leader on his own way ..THE POWER is not centralized .. everybody is a leader ... everybody is using this weakness to decide whatever he wants... being it dala dala drivers, teachers, truck drivers, wasukuma mikokoteni, Students, Citizens with strong emotions..to burn a bus/ a telephone pick pocket ..just chaos every where !! WHY LEADERS TYING TO PLEASE EVERY BODY IN THE CCM

THE TOP POWER IN CCM GOVERNMENT HAS NO FIRM AND COMPLETE Decision ON LITTLE MATTERS... look how they are handling..MAGAMBA thing ..utterly nonsense ... NO ONE HAS THE GUT TO DO THE IMPOSSIBLE ...they are reinforcing the enemy they think they are fighting ..why ..COWERDNESS.. WEAKNESS those qualities CHADAMA SHOULD AVOID at early stage of its development !!

CHADEMA ..YOU DID A GOOD JOB!!!

kwa kweli chadema nimewakubali sasa si zama za kufumbiana ndio sababu nchi inaingia katika mikataba mibovu kwa sababu ya kulea madudu,bora wabaki wawili ambao si mamluki ,

Umenena sana mkuu naunga mkono hoja 100%, tunawaomba wanajf walioko Arusha shirikini katika hili hasa wale wenye mapenzi mema na Arusha na Taifa kwa ujumla hasa katika kuleta Demokrasia ya kweli, na sio siasa za maji taka za CCM.

Huu sasa ndio mwisho wa Chadema. Hakika Chadema wameshindwa kusoma alama za nyakati kama walivyoweza kwa Shibuda.

Natabili hata uchaguzi wa madiwani ukirejewa kwenye kata hizo zote tano CHADEMA watapoteza,

Dr Slaa na Mbowe wanawapeleka pabaya Chadema.
Nadhani hatua hii itaijenga chadema maana mwanachama hatakiwi kuwa juu ya chama. kwa wanaojua historia ya nchi hii hili wala sio issue. kumbuka ccm ya enzi za mwalimu alithubutu hata kumuondoa rais wa zanzibar madarakani tena aliyechaguliwa na wananchi kwa sababu ya kukiuka katiba SEMBUSE DIWAN.

Ukweli ndio huo, CDM ndiyo pekee inayoweza kusafisha ufisadi wa nchi hii. mwameja sana CDM

Migogoro na timuatimua ni dalili tosha ya chama kinachoyumba. Hao jamaa ndiyo walikuwa nguzo ya CHADEMA Arusha na kuwafukuza ni kujichimbia kaburi. Watajipanga, watarudi kuwpa kichapo kitakatifu hadi mjutie maamuzi yenu ya kukurupuka. Kwanza mliwapa nafasi ya kujitetea? Mlisoma mazingira ya mgogoro? Mlirekebisha tofauti?

crap!!!! kuna watu makini sana cdm, hawawez kuwatimua bila kuwasikiliza ndio maana walitwa dom. Acha umagamba wako

sasa ni wakati wa kuondoa nidhamu ya woga wapo si wanafiki kama hawa madiwani waliotimuliwa haijalishi wana uwezo au la, kutunza utu wa wanaowaongoza ndio cha msingi hichi wamekisahau na kufikiri waliingia kwenye udiwani kwa uwezo wao sasa wakati wa kusafisha mamluki umefika, kwa kifupi mamluki wote walioingia cdmau wanaotegemea kuingia kwa kwa ajili ya maslai binafsi hawatatoboa 2015 naomba mninukuu

sioni njia sasa zaidi ya hiiiii, chukua mfano nafasi ya CC kama wasingechukua uamuzi huuu? je unaweza kuwapa nchi kama wanashindwa tota maamuzi kwa kuwa tu wapo watakaochukia?

crap!!!! kuna watu makini sana cdm, hawawez kuwatimua bila kuwasikiliza ndio maana walitwa dom. Acha umagamba wako
Sikubaliani na Mwita25, haya hata Tanu na CCM yalifanyika wakati kuna uongozi imara nda yao, lakini sasa haiwezekani

maamuzi magumu yaliyochukuliwa na cc ya cdm kuwavua uanachama madiwani watano wakaidi ni kielelezo cha dhamira ya kweli ya chama makini kusimamia sheria na taratibu sahihi katika kuiongoza jamii. aidha uamuzi kama huu unaweza kuchukuliwa na baadhi ya watu kama mtaji wa kisiasa kuwatumia madiwani hao wakaidi katika ajenda zao za kutaka kukibomoa au kukiyumbisha chama. kutokana na hali hiyo ni vyema busara zaidi ikatumika kuwapa wananchi hasa wa arusha taarifa sahihi kwa kutumia vikao na mikutano ya hadhara katika kueleza kwa ufasaha na dhamira iliyopelekea maamuzi haya kufikiwa . zaidi sana viongozi, . aidha kwa viangozi wakuu wa cdm (mbowe na timu yake kwa kushirikiana na ofisi ya waziri mkuu kutumia wakati huu kusukuma kwa nguvu zaidi jitihada za kutaka kuleta utengamano wa kisiasa katika jiji hilo ili kumaliza suala hili.
Hayo ni mawazo ya busara, bila shaka kampeini zitafannywa na ukweli halisi utajulikana. Hawa madiwani kina Malha watafute chama chao awla si CDM. Huo uozo ndio tuna taka kusafisha katika nchii hii ya TANZANIA!!!!!!!!!!!

Huu sasa ndio mwisho wa Chadema. Hakika Chadema wameshindwa kusoma alama za nyakati kama walivyoweza kwa Shibuda.

Natabili hata uchaguzi wa madiwani ukirejewa kwenye kata hizo zote tano CHADEMA watapoteza,

Dr Slaa na Mbowe wanawapeleka pabaya Chadema.

Hongera Mkuu!!Kumbe wewe ndo umerithishwa mikoba Ya Shekhe Yahya.

Pongezi za pekee kwa cc ya cdm.. Walichofanya madiwani wa arusha ni kubariki mauaji ya wananchi wasio na hatia.. uchu wao wa pesa na madaraka umevuka mipaka.. ccm watajaribu kuwafanya ni victims bt ukweli ambao sasa umma wa watanzania wanauelewa ni kwamba hawa ni wasaliti ambao hawana tofauti na wale walowezi wa rhodesia.. Hongera tena kamati kuu cdm.. hakuna alie juu ya chama.. warudi kwenye chama chao cha machavi..

Huu sasa ndio mwisho wa Chadema. Hakika Chadema wameshindwa kusoma alama za nyakati kama walivyoweza kwa Shibuda.

Natabili hata uchaguzi wa madiwani ukirejewa kwenye kata hizo zote tano CHADEMA watapoteza,

Hayo ni mawazo yako wala hayatupi presure, wana CDM Arusha na wapenda ukweli na haki woote pamoja na wachulia rushwa tunawaunga mkono mia kwa miakamati kuu ya CDM, makamanda wake woote kwa haya maamuzi thabiti!!!!!!!!!

Chadema chali inakufa kifo cha mende.maamuzi magumu ni kukataa posho za bunge kufukuza madiwani ni maamuzi ya kishenzi

WAKAZI WA ARUSHA NI WATU JASIRI...

Tusiwe Waoga khs hawa madiwani waliotimuliwa, wananchi wa Arusha ni watu jasiri, makini na waelewa, na hawata vunjika moyo, zaidi moral yao iko juu na watakuwa na mshikamano mfanoe hakuna.
Ni wapambanaji wazuri tena ni wawakilishi wazuri wa Taifa ktk kudai yale wanayoyasimamia!

Baadhi yetu hapa jamvini tunajaribu kuilinganisha hali iiyokuwa enzi zile za NCCR na sasa za CDM, hali ni tafauti kubwa sana, sasa watanzania wote wenye akili timamu na uwerevu wa kujua hali halisia, idadi yao ni kubwa sana.... na hawako nyuma kudai mabadiliko ya kweli....!

Tukumbuke Chadema iliwahi kutuma team ya Waatalam wao kuongea na wadiwani wote kule Arusha, mojawapo alikuwepo NCCR, so hatutegemei makosa tena kama ilivyotokea NCCR.

Wakazi wa Arusha wanayo nafasi kubwa ya kuyapokea haya maamuzi ya CC CDM ktk kuleta maendeleo yao, na Taifa kwa jumla Tupo pamoja.
haingii akilini kama hawatayapokea kwa mikono miwili.

Hao madiwani waliotimuliwa kama waliweza kukaidi maagizo ya Chama chao, na taaratibu zote zilifuatwa na kupewa muda wote huo!
je ni kweli wangeweza kuwa waakilishi wazuri ktk halmashauri ya Arusha? cna hakika, na wananchi wanalijua hilo.

kama tunavyofahamu mwanasiasa jeuri, asiye msikivu, mbishi nk...., tena wa kuchaguliwa na wananchi? inatia shaka hiyo! hana sifa ya kuwa mwakilishi mzuri wa jamii na kiongozi ktk taifa letu....!

Leo tuna wakilishi jeuri, si wasikivu, wabishi n.k matokeo yake tunaendelea kuyaona yanayojiri ndani ya CCM na Govt kwa ujumla...
Je tutafika na aina ya viongozi kama hawa?

Tuwape CDM nafasi ya kulitatua hili tatizo SUGU ktk mfumo wa Kiutawala na Kiutendaji hapa nchini,
Arusha ndiyo mwanzo pa kuanzia ktk kuelekea ktk mageuzi ya kweli hapa nchi...,

Tuwapeni Moyo wa Ujasiri wakazi wote wa Arusha.
Na kila moja wetu hapa jamvini mwenye rafiki, ndugu na jamaa Arusha, aitumie nafasi yake ktk kuwaeleza wazidi kupambana ktk kuleta mabadiliko ya kweli ktk nchi yetu Tanzania.

Tutafika tuu, muhimu ni kukaza buti....

Tatizo la watanzania wengi hasa wana-CCM,mnaangalia maslahi binafsi ya uongozi bila kuzingatia kanuni na sheria za uongozi.mko radhi kupindisha kanuni kwa maslahi binafsi kama tuonavyo bungeni hivi sasa.CDM imeonyesha njia sahihi, nanyi igeni kama mtaweza.na ushahidi ni kauli ya mwanamagamba lws hivi karibuni tena ndani ya bunge,alipowaambia wazi khs madhara ya kuogopa 'maamuzi magumu'

..... cdm watakuwa wanafanya kosa sana wakihadaika na wapiga pinje wa JF ambao wengi wao sio wapiga kura! Mwenye macho haambiwi tazama, kwa mtindo tutarajie mabaya kwa cdm.
Mbona CCM inalia na JF wakati si wapiga kura tena hawaonani na wengine wapo nje y anchi? Jiulize ujue kuwa JF ni kuna kitu cha ziada zaidi ya muono wako.

Chadema arusha tupo makini sana, hakuna shida hata tukipoteza kiti cha diwani mmoja hata wote cha maana watu wametuelewa kwamaba ili uwe mwanachama halisi wa cdm unatakiwa kuwaje..kwanza ukatae rushwa kwa nguvu zako zote, ujitolee kwa maslahi ya taifa na sio maslahi binafsi, uwe na dhamira moja tu ya kupinga ufisadi na sio kuwa mmoja wa huo ufisadi...kama hukubaliani na haya machache hata uende mbinguni bado utahukumiwa kuwa msaliti......

Wahenga wanatuambia, "vita vya panzi, furaha ya kunguru!" Binafsi, sikubaliani na misimamo ya wanazi wa cdm! Bado siamini kwamba best option ya kutatua migogoro kwenye vyama ni kutimuana! Historia inatuonesha kwamba, NCCR ilipotea kwenye ramani kutokana na mtindo huu huu wa kutimuana timuana kwa kile ambacho na wao walikiita kuondoa mamluki! Viti 3 vya ubunge ambavyo leo hii vipo NCCR kule KGM na matunda ya staili hii ya cdm! Ina maana hiyo ndiyo pekee ya kutatua migogoro ndani ya chama?! Am afraid kwamba staili hii ya msimamo mkali itaipeleka cdm pabaya! Na busara unayoihitaji mtoa mada ni kwamba ilishaachwa kutumika tangu kitambo! Ni kwanini uongozi wa juu wa cdm haukuenda Arusha kama ambavyo madiwani wale walivyokuwa wanadai?! Haiwezekani nusu ya madiwani wamlalamikie Lema na kuomba uongozi wa juu kwenda kuchunguza na bado uongozi ukapuuza maombi hayo!! Ni wapi hiyo busara?! Ningekuwa ni mpenzi au mwanachama wa cdm basi nisingesita kusema waziwazi kwamba staili ya uongozi ya akina Lema haitafikisha cdm pale inapotakiwa kufika!! cdm watakuwa wanafanya kosa sana wakihadaika na wapiga pinje wa JF ambao wengi wao sio wapiga kura! Mwenye macho haambiwi tazama, kwa mtindo tutarajie mabaya kwa cdm.

umetumwa wewe!!,,ila wameshatimuliwa ss utafnyje. Najua lazma ukamxikilize dkt alhamc..

Back
Top Bottom