Rai yangu kuhusu kauli ya Rais juu ya mitandao ya kijamii

MATAGA walidhani mitandao ikifungwa watakaoathirika ni upinzani peke yake ajabu wao ndo wameathirika zaidi maana walikua hawajajiandaa kwa njia mbadala kama sisi.
 
MATAGA walidhani mitandao ikifungwa watakaoathirika ni upinzani peke yake ajabu wao ndo wameathirika zaidi maana walikua hawajajiandaa kwa njia mbadala kama sisi.
Kuweni Wapoole tukapige kura kuchagua viongozi safi na wachapa Kazi na weledi has a wabunge na madiwani.
 
Kuweni Wapoole tukapige kura kuchagua viongozi safi na wachapa Kazi na weledi has a wabunge na madiwani.
mm bado sijaenda ila naambiwa mabox mengine wameshajiaandaa ni kuchanganya tu na ya mahindi ya njaa kwenye Talling halafu kesho, kesho kutwa ni kuapishwa mara moja.
tuwe wapole km wametuzimia au kuslow internet basi waamue vyovyote lkn sio kutuuua kwa ajili ya tik
Malawi na Kenya walichoka nao ni binadamu ati
 
Back
Top Bottom