Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 359,869
- 828,403
Hili ni wazo la mkuu Kalamu alilitoa tukiwa kwenye mjadala wa mada ya CHADEMA
Alishauri tuweke kwenye kumbukumbu kwa faida ya historia
Mambo ya hovyo, uvunjaji wa sheria na haki za binadamu ukiukwaji wa taratibu mbalimbali umefanywa na mamlaka mbalimbali aidha kwa ufinyu wa kuelewa lakini kwa sehemu kubwa ikiwa ni maelekezo maalum "toka juu" kwa manufaa ya mtu mmoja mmoja ama taasisi
Database hiyo itajumuisha majina ya wahusika binafsi, vyeo vyao ama taasisi zao
Mpaka sasa taasisi ya jeshi la police ndio inayoongoza kwa yote hayo huku mtu mmoja mmoja kwa mamlaka na cheo chake pia akihusika
Namba mbili ikifuatiwa na vyombo vingine vya usalama na namba tatu watendaji na viongozi wa CCM
Kuna taasisi zingine Kama mamlaka ya mapato bandari nk