Rai: Lowassa atishiwa kifo

Mheshimiwa Mkuu wa Wilaya Paul Makonda akifanikiwa kumuua Lowasa atapandishwa cheo na kuwa mbunge wa kuteuliwa then atapewa uwaziri mkuu.
 
Last edited by a moderator:
Yumo sana akisaidiana na wapammbe wake.
 
Gazeti la RAI la leo Alhamisi tarehe 19/02/2015, limechapisha katika ukurasa wake wa mbele taarifa kuwa waziri mkuu aliejiuzulu, bwana Edward Lowassa atishiwa kifo.

View attachment 227847

:violin::A S crown-1::bump:😛eace::majani7: haya ni maajabu,gazeti hili ni lake mwenyewe Lowassa halafu linaandika uzushi na habari za kikampeni namna hii.
safari hii tutasikia mengi sana,ngoja tusubiri na hiyo clouds media iliyonunuliwa na swahiba yake Rostam nayo ianze kampeni ya kimtandao namna hii.
shame on you waandishi makanjanja wa tanzania na njaa njaa zenu. only time will tell....
 
Kwa nini umuue Lowassa? Lowassa ana kufa mwenyewe taratibu kwa vile dhambi hulipwa hapa hapa duniani. Huyu na mwanae Fred ambao kwa pamoja walimuwekea Harrison Mwakyembe sumu ili afe mwaka 2008, sasa limewageukia wao. Na hiyo Ikulu utaisoma magazeti tu kama mwezio Augustino Lyatonga Mrema
 
Mwanzoni mwa maohojiano yake (Mh.Lowassa) na Tido akimueleezea Rais Kikwete na aina yake ya uongozi alisema Kuna aina mbili ya viongozi :
1. Visionary leader-mwenye upeo wa kutambua mambo mapema na kuweka mikakati ya kukabiliana nayo
2. Book Keeping leader-asiye na upeo kazi yake ni kubalance vitabu ,hana maono (sijapenda mfano huu aliotumia kwa
watunza vitabu wetu)

Aliongeza kusema kuwa Rais Kikwete ni Visionary Leader.

Akiulizwa na Tido tena juu ya mtakabali wa chama chake cha CCM kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka 2010. Alijibu hivi (fuatilia link hapa chini)

https://www.youtube.com/watch?v=-lZTdDotxXY&feature=player_detailpage#t=1840

Swali: Kwa majibu aliyotoa Mh. Lowassa, Je. Unadhani yeye (Lowassa) ni visionary leader ama ni book keeping Leader?
 
Huyu jamaa hata upepo ukimpuliza ananguka,kushika kikombe hata kwa dakika hawezi,anatoka makamasi kama mtoto watu wanamfuta,kutembea hata mita moja bila kupumzika hawezi.Lowassa mfu anayetembea

hahahaha aisee wewe unamchukia mpaka basi!!!!! ila nasikia jamaa ana pesa mpaka anatamani ajiteke nyara!!!
 
Hata mtoto mdogo anajua afya yake ni mgogoro kwanini ung'ang'anie madaraka wkt afya mbovu?
UTALITIA TAIFA HASARA BURE KWANI KILA SIKU UTAKUWA NCHI ZA MAGHARIBI KUTIBIWA KWA GHARAMA ZA SERIKALI.PESA ALIZONAZO ZINAMTOSHA KULA YEYE NA VITUKUU MPAKA KIFO KWANINI ANANG'ANG'NIA MADARAKA?
 

Wewe unayejitia commonmwanchi ndiyo kanjanja. Siyo kila taarifa munaifanya kuwa mzaha inabidi make chonjo Sana. Ila munae ombea watu kifo mtatangulia mapema!
 

Wewe unayejitia commonmwanchi ndiyo kanjanja. Siyo kila taarifa munaifanya kuwa mzaha inabidi make chonjo Sana. Ila munae ombea watu kifo mtatangulia mapem
 
Na ni kweli mkuu.... Mchawi wetu anajulikana, la msingi ni kuzidi kujipanga na kupigana.... Mafanikio yako karibu kupatikana....

Mnachekesha sana nyie.
Mnatafuta mafanikio ya kuupata urais by any means?
Kwanini mnalazimisha kupata Urais?
 

hata jk wakati anaingia madarakani 2005 cuf walikua na matamshi kama hayo sasa sijui wewe ndio ulikua mbunifu wa kauli zile za mwaka 2005
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…