Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,190
- 162,698
Acha afe kwani anafaida gani fisadi mkubwa huyu.Kwa mujibu wa gazeti la RAI la leo Alhamisi tarehe 19/02/2015, waziri mkuu aliejiuzulu, bwana Edward Lowassa amelalamika kutishiwa kifo.
CHANZO:RAI(magazeti star tv)
Muongo huyu mzee ugonjwa wake anataka kupakazia watu yeye kama anaona maji yamefika shingoni asipakazie watu.Katishiwa kifo na nani?
Mkuu hiyo ni habari kwa kifupi tu kama ilivyosomwa kupitia kipindi cha tuongee magazeti cha star tv hivyo tafuta gazeti husika kwa habari kamili.Katishiwa kifo na nani?
ye mwenyewe ameshajifia,nani amuue
Sasa kwanini asife ama yeye anahisi ana bimà ya milele mwizi mkubwa huyo
Anataka afe na mtu!lowassa ameshajifia naona antafuta mtu wa kumpakazia kifo
Inashangaza kweli nani amuuwe wakati mtu mwenyewe anaweza kuangushwa hata na upepo tu nani asumbuke naye wakati kaisha kama nguo.
mkuu hata kama humpendi lowasa sio vizuri kumuombea kifo?Acha afe kwani anafaida gani fisadi mkubwa huyu.