Ndo maana nikasema iboreshwe kupata viwango sahihi vinavyokubalika na mamlaka za afyaMkuu kwa cha arusha cna tatizo ila hiyo gongo aiseee watu wanaotumia ni kama vile wamekata tamaa yaani hawajielewi wapo wapo tu kwakweli siafiki gongo ina madhara mkuu.
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji115] [emoji115] [emoji115]Siku moja niliend kununua Bangi mid a ya jioni nikakuta watoto wa2 wa kike wanasoma Bible..'Bibi Yuko wapi?' Wakasema hayupo ila dawa ipo.. Basi wakaniuzia dawa pale wakaendelea na Bible yao. Nlifarijika sana kuhudumiwa na malaika wale.
Aseee, hayo yananukia kuku kuku au?Ukichoma udi bado watasanda harufu...
wakongwe huwa tunachoma maganda ya mayai.
Pole, kubanja vepe lazma kuna mkono wa mtu hapo, mchawi kishafanya yake 😀Eve unavunja mbavu zangu ujue halafu huku nabanja
tulia utaelewa tu pole poleHeeeeey mama Tembaaaaaa,nafwaaaa mie,kumbe nimeuziwa mbuzi kwenye gunia kiruuuuuuu mbulaaaaaaaaaaaa Yesu na Maria.
Umesoma na kuelewa vizuri nilichoandika au ume comment kupitia heading tuu? Kwani nimezungumzia viroba hapa?Watu tunapiga debe viroba vizuiwe (advanced gongo) na banana wewe unataka vihalalishwe ungejua namna vilivyochangia madhara kwenye familia za watu usingeandika ulichoandika.
Ulishamuona mnywa gongo mwenye future hata mmoja wengi ni wezi na vichaa hawajali familia zao wala hawatii sheria vijana wengi wanaokataa shule na kuanza ujambazi huwa ni wavuta bangi tusiangalie manufaa yatokanayo na biashara hii
sababu hata wazungu walivyokua wakiwachukua mababu zetu utumwani na kutuibia rasilimali zetu walikua wanatengeneza faida.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] msumari wa kichwaMsumari wa kichwa ni kitu iko safi, iko safi tena saana kwa kichwa. Hata kilimo yake iko naleta pesa mingi kwa mfuko. Haitaji vitu vya kisasa vya gharama kuifadhi. Yenyewe unaweka kwa dalini tu inakuwa poa, inakuwa strong.
Sasa hapo ndio upime kati ya kiroba ambayo nimesema ni gongo iliyonakshiwa na nilon na gongo-mwitu yenyewe ambayo hata haijapunguzwa makali yake kama kiroba ipi mbaya?Umesoma na kuelewa vizuri nilichoandika au ume comment kupitia heading tuu? Kwani nimezungumzia viroba hapa?
Kwanza ni lazima uelewe kuwa mimi ni mpinzani wa viroba na nilishawahi kuweka post kuhusu hilo kwahiyo niliposema gongo liboreshwe na kufikia viwango vinavyokubalika kiafya ilikuwa ni pamoja na kuwa na vifungashio bora zaidi na sio huu uchafu wa virobaSasa hapo ndio upime kati ya kiroba ambayo nimesema ni gongo iliyonakshiwa na nilon na gongo-mwitu yenyewe ambayo hata haijapunguzwa makali yake kama kiroba ipi mbaya?
Breweries wanafaya hiyo kazi moja ya products zao zilizokua kwenye level ya gongo awali ni chibuku.Kwanza ni lazima uelewe kuwa mimi ni mpinzani wa viroba na nilishawahi kuweka post kuhusu hilo kwahiyo niliposema gongo liboreshwe na kufikia viwango vinavyokubalika kiafya ilikuwa ni pamoja na kuwa na vifungashio bora zaidi na sio huu uchafu wa viroba
Hapana si la lazima iwe ni binafsi, serikali inaweza kuwekeza huku na si sahihi kusema kuwa kwakuwa tayari tuna Konyagi basi brand nyingine zisiwepoBreweries wanafaya hiyo kazi moja ya products zao zilizokua kwenye level ya gongo awali ni chibuku.
Hivyo kutaka serikali iwape njia ya kuboresha kitu ambacho tayari kinazalishwa na makampuni ya ndani na nyingine kuagizwa nje sidhani kama inaleta maana sababu hata konyagi ile ni gongo iliyoboreshwa.
Wamama wauza gongo hawawezi kumudu ununuzi wa mitambo ya mamilioni ya fedha kufanya kazi ambayo inafanywa na wengine tayari.
Nimeiona tayari.Hapana si la lazima iwe ni binafsi, serikali inaweza kuwekeza huku na si sahihi kusema kuwa kwakuwa tayari tuna Konyagi basi brand nyingine zisiwepo
Post yangu kuhusiana na viroba hii hapa uuzaji holela wa pombe: tunahujumu uchumi na kuliangamiza taifa
na ikishakua binafsi maana yake hawa wamama muuza waliopo kwa mamia mitaani watafaidikaje na hiyo transition ya gongo production kama serikali itaamua kumonopolize hiyo sector ya gongo inayoajiri mamia lakini inateketeza maelfu.Hapana si la lazima iwe ni binafsi, serikali inaweza kuwekeza huku na si sahihi kusema kuwa kwakuwa tayari tuna Konyagi basi brand nyingine zisiwepo
Post yangu kuhusiana na viroba hii hapa uuzaji holela wa pombe: tunahujumu uchumi na kuliangamiza taifa