Rahisi: Kiwanda cha mafuta ya kupikia cha mahindi (Corn Oil)

Boss hii haiwezi kuwa biashara viable.
Umepata wapi tafiti ya hesabu gunia moja la mahindi linatoa mafuta kiasi gani?
Gunia moja la KG 100 haliwezi kutoa lita 10 ya mafuta mzee. Sasa gunia la mahindi ya njano la kilo 100 unaijua bei yake?
Kama gunia moja linauzwa 100k na litoe lita 10. Lita 10 itauzwa shilingi ngapi?
Ndio maana unaona mpaka leo hatuna mafuta ya karanga unajua ni kwanini?
Gunia moja la karanga la kilo 60 linauzwa 170,000 na gunia hilo hilo ukikamua linatoa lita 15 za mafuta.
Lita moja ya mafuta ya karanga iuzwe shilingi ngapi ili tupate faida?
Mimi nipo kwenye industry ya mafuta ya kula ya alizeti nina plant najua ninachokiongea.
Mkuu asante sana... Gharama ya kuanzisha kiwanda kidogo cha kukamulia mafuta ya alizeti ni shilingi ngapi?
 
Habari Tanzania !

Kwa wewe mzalendo au mpenda biashara nakusihi unaweza anzisha kiwanda cha mafuta ya kula kwa kuchakata mahindi kuwa mafuta.

Katika bidhaa hii mahindi ya njano ndio malighaifi pekee inayochakatwa na kuwa mafuta ya kupikia kwa kukamuliwa na mitambo.

NB

a) Mahindi yapo.
b) Ardhi ipo ukitaka kulima.
c) Mtaji ni mdogo sana kuanzisha na kukiendesha kiwanda.
d) Soko la mafuta ya kula / kupikia lipo.
e) Kazi ni kwako boss mtarajiwa.

Karibu.
Bongo sarakasi nyingi sana
 
Boss hii haiwezi kuwa biashara viable.
Umepata wapi tafiti ya hesabu gunia moja la mahindi linatoa mafuta kiasi gani?
Gunia moja la KG 100 haliwezi kutoa lita 10 ya mafuta mzee. Sasa gunia la mahindi ya njano la kilo 100 unaijua bei yake?
Kama gunia moja linauzwa 100k na litoe lita 10. Lita 10 itauzwa shilingi ngapi?
Ndio maana unaona mpaka leo hatuna mafuta ya karanga unajua ni kwanini?
Gunia moja la karanga la kilo 60 linauzwa 170,000 na gunia hilo hilo ukikamua linatoa lita 15 za mafuta.
Lita moja ya mafuta ya karanga iuzwe shilingi ngapi ili tupate faida?
Mimi nipo kwenye industry ya mafuta ya kula ya alizeti nina plant najua ninachokiongea.
Duh, watu waongo jamani! Wapj huko gunia la karanga linauzwa 170k? Je, ni karanga maganda au zilizomenywa? Kwa taarifa yako kilo 3 za karanga maganda zinatoa lita 1 ya mafuta. Na kilo huju kwetu ya maganda I auzwa Tsh. 900. Sasa huoni faida hiyo? Tuache porojo jamani kama kitu hatukijui.
 
Wapi huko kwenu mkuu?
Duh, watu waongo jamani! Wapj huko gunia la karanga linauzwa 170k? Je, ni karanga maganda au zilizomenywa? Kwa taarifa yako kilo 3 za karanga maganda zinatoa lita 1 ya mafuta. Na kilo huju kwetu ya maganda I auzwa Tsh. 900. Sasa huoni faida hiyo? Tuache porojo jamani kama kitu hatukijui
 
Haya mafuta ya mahindi anazalisha Mount Meru.

Mwaka 2018 rafiki yangu Mkongo alikuwa ananunua Lita Kwa sh 12,000 sijajua Bei ya Sasa.
 
Back
Top Bottom