Raha za Mbeya City

Raha za Mbeya City

Umesahau na mchele wao ule wa Kyela!! duh! hiv Kyela nayo ipo Mbeya? au nimekosea
Mkoa wa Mbeya ni kati ya mikoa 30 ya Tanzania ikipakana na Zambia na Malawi, halafu na mikoa ya Rukwa, Tabora, Singida na Iringa.
Kuna wilaya 9 zifuatazo: Mbeya Mjini, Mbeya Vijijini, Rungwe, Kyela, Ileje, Mbozi, Chunya, Momba na Mbarali.
Mbeya ni kati ya maeneo yanayopendeza kabisa ndani ya Tanzania ikiwa na sehemu za Ziwa la Nyasa, Ziwa Rukwa, milima ya Mbeya, milima ya Rungwe, Uwanja wa juu wa Uporoto, Uwanja wa Usangu ingawa haukufikiwa bado na utalii.
Wenyeji wa wilaya ya Chunya ni Wabungu na waishio huko zaidi ni Wanyiha.
Wilaya ya Rungwe ni eneo penye mvua nyingi katika Tanzania. Mkoa wa ujumla ni mojawapo kati ya mikoa yenye kilimo kizuri inayotoa mazao ya kulisha taifa. Lakini maeneo makubwa ya Wilaya ya Chunya ni makavu.
Wilaya ya Chunya ina madini mbalimbali hasa dhahabu. Mbeya na Mbozi kahawa hupandwa. Rungwe pana chai nyingi, pamoja na Rungwe na Chimala hulimwa mpunga. Nyanda za juu kuna nafaka na viazi.
Kijiolojia mkoa wa Mbeya ni eneo la kukutana kwa mikono miwili ya Bonde la Ufa la Afrika ya Mashariki inayoendelaea hapa katika ziwa Nyasa.


[h=2]Kyela Location Map (Mbeya, Tanzania)[/h]
Kyela.10.gif
 
kwani ukisema mwanamke kuna ubaya gani? mpaka useme demu?

Kwa jinsi unavyojibu kwa busara inaelekea umempokea bwana!! Bwana asifiwe!! NiPM basi unikomboe na mimi nimpokee bwana !!! Love is GOD.
 
Wa kumyitu abha...huwa wananifurahisha wakianzisha kwaya na....mmmmmh...halafu ndio anaibuka wa kupiga 'mabiti' kifimbo mpaka nyuma ya mgongo....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom