Raha za Mbeya City

Raha za Mbeya City

Mkuu umeokoka siku hizi? Niliposoma kichwa cha mada sikuwaza kuwa unazungumzia kwaya!!
 
Huu wimbo mara nyingi unapoimbwa kwenye sherehe za hawa watani zangu wasokile, mara tu unapoanza wote wanasimama kucheza na kuimba inakuwa kama TRIBAL ANTHEM yao!! Nilipotembelea Tukuyu nikapata shauku ya kuulizia mtunzi wa wimbo huu nikaambiwa ni mzee mmoja mchungaji anayeishi pale Kiwira kwa jina anaitwa mchungaji Mwambande. Nikiwa sehemu za Kiwira nilibahatika kuonana na mzee mwambande na kumuuliza kama anapata royalties zozote toka kwenye wimbo huu kwani unapigwa sana na cd nyingi zimeuzwa; unfortunately mzee huyu hajafaidika na utunzi wake ama sivyo saa hizi angekuwa nakula bata kwani wimbo wake ni maarufu sana!!! Matatizo ya kuwa na serikali dhaifu, watu hudhulumiwa haki zao.
 
ahaa! taratibu miye siyo shori bwana, mama yangu ni wa huko so nakimanya kidogokidogo.

Makosa ya kuweka "avatar" ya kishori ndio maana nikadhani wewe ni shori kumbe ni dume!!!
 
Huu wimbo mara nyingi unapoimbwa kwenye sherehe za hawa watani zangu wasokile, mara tu unapoanza wote wanasimama kucheza na kuimba inakuwa kama TRIBAL ANTHEM yao!! Nilipotembelea Tukuyu nikapata shauku ya kuulizia mtunzi wa wimbo huu nikaambiwa ni mzee mmoja mchungaji anayeishi pale Kiwira kwa jina anaitwa mchungaji Mwambande. Nikiwa sehemu za Kiwira nilibahatika kuonana na mzee mwambande na kumuuliza kama anapata royalties zozote toka kwenye wimbo huu kwani unapigwa sana na cd nyingi zimeuzwa; unfortunately mzee huyu hajafaidika na utunzi wake ama sivyo saa hizi angekuwa nakula bata kwani wimbo wake ni maarufu sana!!! Matatizo ya kuwa na serikali dhaifu, watu hudhulumiwa haki zao.

Mkuu nashukuru kwa kunipa kahistoria ka huo wimbo!
 
Naelewa ila kwangu mimi huwa silipendi na maneno mengine yanayofanana na hayo like dem n.k

You give me an impression that you are intororant of other people's views!!! Lazima ujifunze uvumilivu wa mawazo ya wengine kwani sio kila kitu kitakupendeza; sasa kama hupendi kuitwa dem na wewe umesema ni mwanamke unapenda uitweje?
 
Mkuu nashukuru kwa kunipa kahistoria ka huo wimbo!

Ahsante kwa kushuru; wengi wananufaika na huu wimbo lakini hawamjui hata mtunzi wake!! Sasa maadam mnamjua mzee Mwambande kuwa ndio mtunzi wa anthem yenu,nyie wasokile mnapokwenda kwenu simameni hapo Kiwira Moravian church ulizeni nyumbani kwa mchungaji Mwambande mkatoe heshima zenu!!!
 
You give me an impression that you are intororant of other people's views!!! Lazima ujifunze uvumilivu wa mawazo ya wengine kwani sio kila kitu kitakupendeza; sasa kama hupendi kuitwa dem na wewe umesema ni mwanamke unapenda uitweje?

kwani ukisema mwanamke kuna ubaya gani? mpaka useme demu?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom