Raha ya wanawake wafupi

Ni kweli kbs.
 
Kasoro gani?
 
Huku nilipo ni viumbe wafupi tu kwa zaidi ya 90%

Nimemiss vitu virefu

Japo wafupi ni exceptional
 
Teh leo ni kupatwa kwa wanaume wa Jf ama?

Siamini kama ni nyie mnasifia leo. Au wake zenu wanatumia cm zenu nini?
 
wanawake wafupi ni watamu sana hasa ukiwaweka dogstyle na chuma mboga
 
Teh leo ni kupatwa kwa wanaume wa Jf ama?

Siamini kama ni nyie mnasifia leo. Au wake zenu wanatumia cm zenu nini?
Hapa tunaongea nothing but truth.
 
Wawe na nyama kiasi sio wajikondeeeeeeshe mpaka wawe vituko.
 
Leo mwisho kutoa mada za wanawake huku tafadhali wengine hamu ya mpenzi ilishapotea mnawasifia sanaaa aisee wakuu wangu
 
Mkuu tupia picha zao ili tujiridhishe na huo ufupi wao unaosema.
 
Uzuri wa short chassis ni kwa sisi ma-tall, short kwa short ni majanga, ha ha ha ha
 
Duuh! Sikujua kua kimo cha mtu kinachangia jinsi anavyopenda!
Anyway hongera yao wafupi! Si milingoti imekula kwetu
 
Ndugu ninakwambia hii ni reseach nimefanya mwenyewe.

Raha ya chungwa mpate mmenyaji na raha ya nazi mpate mkunaji.

Kusema kweli wanawake warefu wanaulemavu katika tendo la ndoa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…