Naona bro hapa unaongea kwa hasira sana.Wanawake wafupi wana maneno mengi, wanapata marafiki kirahisi ila hawatunzi siri,ni wakorofi wanapochukia, ni wahuni( kuwa na wanaume wengi) pia ni wasaliti sana.Rudia utafiti wako !!
Kama vile nami niko hvo eh!!!! Kaukweli haka buana.Naona bro hapa unaongea kwa hasira sana.
Huenda umetendwa. Lakini huyo mmoja hawezi akaondoa ukweli. Watoto wafupi wapo fresh sana. Unatakiwa kuwaelewa saikolojia yao. Ukiwaelewa tu wala hutagombana nao.
Wafupi ni wepesi sana kusamehe na huwa hawana visasi.
Warefu wanavisasi vya kufa mtu. Huwa wanaweka vitu moyoni na hawaongei sana zaidi ya kuleta madhara bila hata majadiliano.
Wafupi hutoa hisia zao hadharani na hupenda kusikilizwa. Ukiwa mbabe hamtawezana nao. Unatakiwa ujue saikolojia ya wanawake wafupi.
Picha plsNawasalimia wana JF.
Hebu leo ngoja niongelee ka utafiti kangu nilikokafanya. Kwanza mimi ni mrefu wa wastani naweza kusema nipo na 180.3cm.
Nimetokea kuwapenda sana wanawake wafupi. Kwanza hawa wanawake wanajituma sana katika kila kona.
Ni wabishi sana na hawapendi kushindwa. Pia ni wakorofi sana hawapengi kuona msichana mwingine anachukua bwana wake. Lazima kinuke.
Wanawake wafupi walio wengi ni wasafi sana wanapenda kuvaa vizuri. Kwa kweli ule ukorofi wao huwa naupenda sana nahisi ninapendwa na nipo na ulinzi.
Halafu hawa wanawake walio wengi wanajua kupika tena chakula kizuri sana.
Hawa wanawake wafupi hupenda kuonesha mahaba kwa wapenzi wao. Wapo tayari kupigana busu la ulimi hadharani bila hata woga. Huonesha hisia zao hadharani bila kuficha.
Kwa kweli kutokana na uafiti wangu huu wa sample ya watu kadhaa. Watu wafupi wamepata 79% katika kuonesha mapenzi ya dhati. Na kwakweli wanatoa raha ya ukweli. Walio wengi sio magogo.
Nawasilisha hoja.
True say ...mi napendaga wanavotia huruma ..kifo cha mende , ama ile style ya mpalapalaWafupi Hawana kina kirefu basiiii daaah si kwa kunoga hukoooooooooooooooo bwana weweeee!
Wacha weyeeeeee hahaaaa,nije unionjeshe mautamu basi ili nithibitishe mamii.Hujakutana na mrefu wewe, utajiliuza ulikuwa wapi kuhangaika na wafupi.
ha ha ha ha ha we fundi ushanitia hamu ngoja nikitoka hapa kijiwe nikamsake kafupi kamoja ....True say ...mi napendaga wanavotia huruma ..kifo cha mende , ama ile style ya mpalapala
Inamaana mshedede unagota ukifika mwisho,yaani ni kugonga ukuta au vipi?na kwenye tigo inakuwaje?Wafupi Hawana kina kirefu basiiii daaah si kwa kunoga hukoooooooooooooooo bwana weweeee!