Hupendi kutomaswa wapi
Mkuu naona huu ni uzi mwingine unaletwa hapa MMU na wewe...uzi mwingine wenye mandhari kama huu ni hapo katika link
Naamini una lengo zuri tu la kutaka kujua watu wanafunguka vipi kuhusiana na mapenzi na mahusiano, lakini shida inakuja pale tu unapoleta threads zako katika mtindo wa maswali.
Binafsi ninaamini mleta thread jamvini haswa kwenye jukwaa nyeti kama MMU, anapaswa kuwa ndiye ya kwanza kufunguka na kueleza kinagaubaga.
Walau ungejaribu kueleza sehemu ambazo mwanaume au mwanamke akiguswa au kushughulikiwa kwa msisitizo hupelekea kupata utamu. Pia si haba kama ungelezea na wewe ukifanywa wapi na kwa mtindo upi, mtima wako huwa unasuzika kwatu.
Otherwise, huu uzi ungeupeleka Chit Chat