jana nilimuuliza Masanilo ID ya zamani ya Masaki maana machale yalinicheza kwelikweli.....NL we ni jiniasi kwa kweli. Ila mi sivai shanga mguuni navaa cheni!!!Eheeeeeeh.....!
Na huyu tena.......!
Tena.......!
Eeeeeh tena........!
Ba ndugu...watch out isije kawa BHT= Masaki's X-Gfriend!
Sababu:
BHT: .....sometimes huvaa shanga mguuni
Masaki' X-Gfriend: Anavaa shangaa mguuni as well
BHT: Yupo vacation......stress free leave
Masaki: Now yupo Stress free leave....!
Masaki's X-Gfriend .....alikuwa pasua kichwa....lugha gongana sana,
BHT: Anasema, relation yao ilikuwa hell fulani, lugha gongana kwa kwenda mbele.........!
......just kulwasi mazee msinirushie mwiko wa ugali...........!
Yeah! Good observation, bht hebu tutete kidogo kwenye PM, isije kuwa Next Level yuko sahihi! π
Nimesikia mara kadhaa baadhi ya wanaume wakisema nyumba ndogo zinawaliwaza na kuwaondolea stress wanazozipata kwa wake zao. Mie nikitafakari nahisi kama nyumba ndogo zinaongeza stress maana utatakiwa kuingia gharama za kuihudumia, kubana muda wako ili kuwa nae na kujifunga mabomu pindi waifu atakapong'amua. Naomba wenye nyumba ndogo au uzoefu wa kuwa na nyumba ndogo watupe uzoefu wao. Waliowahi kupata bahati ya kuwa nyumba ndogo za watu nao tunaomba their side of the story. Bila kusahau waliowahi kupata adha toka kwa nyumba ndogo zao au rather nyumba ndogo za waume wao. Na wote mnaoguswa na hili, karibuni tuchangie.
Yeah! Good observation, bht hebu tutete kidogo kwenye PM, isije kuwa Next Level yuko sahihi! π
jana nilimuuliza Masanilo ID ya zamani ya Masaki maana machale yalinicheza kwelikweli.....NL we ni jiniasi kwa kweli. Ila mi sivai shanga mguuni navaa cheni!!!
heheeeee acha wasiwasi nawee!!!
jana nilimuuliza Masanilo ID ya zamani ya Masaki maana machale yalinicheza kwelikweli.....NL we ni jiniasi kwa kweli. Ila mi sivai shanga mguuni navaa cheni!!!
heheeeee acha wasiwasi nawee!!!
Masanilo alikuwa bado ana ''hangover'' na gemu zake za Uswazi anakopenda kwenda kuji-express!! Mchukulie poa!
hilo lisiwatishe tutaimport frm chine wanaume wamekuwa wengi.....
mhm bht, vile vibamia vya wachina vitawafaa dada zetu?
masaki naona umeweka kambi kwenye hii sredi siku ya tatu leo....!π±
laazizi.....
Dr. Manyuki ataenlarge usiogopemhm bht, vile vibamia vya wachina vitawafaa dada zetu?
Tehe tehe tehe tehe! I like the way you are thinking. Yaani kwa kuwa Wachina wafupi basi ndio wana vibamia?