Raha ya ndoa upendwe na upendeke

Haaa haaa ningekuwepo ningecheka kweli huyo mdada na kazi aliendelea kweli,
ila huyo mkaka ana akili nampa kongole lake anajielewa hayo ndiyo mapenzi ya kweli.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanaosisitiza upendo usiangalie mali na sura wao wameoa warembo,wasomi na wana chura au wameolewa na wenye mkwanja na handsome.
Haaaa haaaa Madam Mwajuma yaukweli hayo [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kwa wenye mikwanja nazani mnaweza anza chini mpaka mkawa nazo, ila hivyo vingine wangu kuna kaukweli lakini sio sana, hata msomi sizani sana [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahahaa,. Nimechekaa eti,lol..hivi mwanamke wa hivyo unampata wapii?au mwanaume aliyekamilika kwa kila eneo unampata wapi??aiseee naona kuna watu wanavyopata tabu sanaa kutafuta malaika duniani....
Nawale wanataka kuoa bikira wakati yeye ameshazurura na ke kibao sasa huyu asijua sijui inakuwaje au
ndiyo yale unamuweka pambo kisha yeye anaenda starehe na mkahaba huko nje au inakuwaje yaani!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kiki za mtaani baba uwe na mkwanja basi, tuponywe kwakweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani ukisema hivyo na ukilinganisha na yanayoendelea sasa upendo wa Agape ni nadra sana kukutana nao. Unakuta kijana hana hata buku mfukoni ila anakupenda hadi unajiuliza sasa mie huyu tutafikishana wapi?!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani ukisema hivyo na ukilinganisha na yanayoendelea sasa upendo wa Agape ni nadra sana kukutana nao. Unakuta kijana hana hata buku mfukoni ila anakupenda hadi unajiuliza sasa mie huyu tutafikishana wapi?!

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…