Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 58,636
- 220,353
Ukipendwa kwenye ndoa ni kama unaishi pepo ya dunia. Hata uwe unakoroma usingizini mwenza ataichukulia poa tu. tena ukisafiri ana miss ule mkoromo wako.
Hata uwe unakojoa kitandani, ataongeza budget ya omo na kubadilisha shuka alfajiri huku kimya kimya akimtafuta daktari wa kukutibu.
Makosa tunayofanya ni kumtafuta msichana wa kuvutia na unawaacha wale wanaokupenda kwa upendo huu wa agape.
Wadada wanatafuta handsome, aliyesoma, mwenye kuendesha gari nzuri. Yule Hamis next door ambae angeweza kukinga matapishi yako kwa mkono ukiugua unamuona zobwe.
Dunia ni majanga.