gfsonwin
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 18,274
- 20,673
Wana mmu polen kwa kazi za kutwa nzima.
haya jamani hebu tuelezane raha ya ndoa ni nini?
je ni mchezo wa matusi tu,
au ni kuish na mtu umpendaye tu
au ni kuwa na familia tu
au ni nini?
hebu tudadavue jamani, manake nashindwa kujua nini hasa raha ya ndoa.