donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,140
Jero tu unashiba, sambusa moja Tshs.100/=, juice Tshs.200/=
Mwambie mleta uzi akufundishe kuvila. 😂😂😂Hivi vyakula vingine, yaani kidume kizima unakata masiku kwa mawiki kwa kula vitu kama hivi.......!
So sad.. Mimi siwezi
Mwambie mleta uzi akufundishe kuvila. [emoji23][emoji23][emoji23]
Ooh. Sawa.Hapana hivyo labda kwaajili ya chai ila siwezi kusjindia, sambusa mamaa.... [emoji4] [emoji4]
Ooh. Sawa.
hahaa, yaani analinunua gonjwa kwa bei nafuu, afu kulitibia kwa gharama kubwa duuh = lossUnaumwa tumbo wiki zima unatumia 30000 hospitali.
Unaumwa tumbo wiki zima unatumia 30000 hospitali.