Ni kweli Mkuu.Mambo mengi yanakuwa hovyo kwa sababu watu wanaishi kwa mategemeo ya jamii.Utakuta mtu ajajianda kwa jambo flani au hata haliitaji kwenye maisha yake lakini kwa sababu ya misukumo ya wengine na kwa kuishi kwa matarajio ya wengine inamlazimu afanye.Matokeo yake ni kushindwa kwenye hilo jambo, ebu chunguza kiwango cha talaka kwenye jamii mbali mbali uone maajabu yake.Social pressure inawasumbua wengi.
Hakuna hiyo manual inayozungumzia hivyo mkuu, nahisi uelewa wangu utakuwa mdogo kwenye kutongoza au mazingira ambayo nipo mimi na rafiki zangu yanayonizunguka. Big up kwa kutowahi kutongoza tangu umezaliwa mpk hapo ulipo, kinyume chake wanajileta(walijileta) wenyeweNimekupa namna pekee pengine ya kuupata ukweli, ambao umeung'ang'ania. Hiyo manual iliyoandikwa kwamba mwanaume kamili lazima kutongoza, iko wapi?
Mkuu cjawahi kuumizwa na mwanamke,na huwa niko bize na kazi vibaya sana,nafanya kazi masaa kumi na 13 ,home narudi saa mbili hadi saa tatu.nikichelewa naingia saa 4 na kuamka saa 11 asubuhi.na mimi ni bonge la mwanaume na mumgu kanijalia uhandsome.ila mimi cyo mtu wa sketi
Ni kweli Mkuu.Mambo mengi yanakuwa hovyo kwa sababu watu wanaishi kwa mategemeo ya jamii.Utakuta mtu ajajianda kwa jambo flani au hata haliitaji kwenye maisha yake lakini kwa sababu ya misukumo ya wengine na kwa kuishi kwa matarajio ya wengine inamlazimu afanye.Matokeo yake ni kushindwa kwenye hilo jambo, ebu chunguza kiwango cha talaka kwenye jamii mbali mbali uone maajabu yake.
mungu--- Mungu.Vyote nilifanikiwa na ninamshukuru mungu
Sasa haja zako wazimalizia wap?Mkuu cjawahi kuumizwa na mwanamke,na huwa niko bize na kazi vibaya sana,nafanya kazi masaa kumi na 13 ,home narudi saa mbili hadi saa tatu.nikichelewa naingia saa 4 na kuamka saa 11 asubuhi.na mimi ni bonge la mwanaume na mumgu kanijalia uhandsome.ila mimi cyo mtu wa sketi
Hakuna hiyo manual inayozungumzia hivyo mkuu, nahisi uelewa wangu utakuwa mdogo kwenye kutongoza au mazingira ambayo nipo mimi na rafiki zangu yanayonizunguka. Big up kwa kutowahi kutongoza tangu umezaliwa mpk hapo ulipo, kinyume chake wanajileta(walijileta) wenyewe
Well then, if there's no manual that I'm supposed to comply with, that means I'm allowed to have my own standards long as they're working for me.
You don't need to argue every case, man. Some of them are pointless. That's the point.
Point wil not be pointless unless u prove it. Lets leav a topic. U win broWell then, if there's no manual that I'm supposed to comply with, that means I'm allowed to have my own standards long as they're working for me.
You don't need to argue every case, man. Some of them are pointless. That's the point.
Unakuwa single halafu huna ishu ya kukufanya uwe bize ni majanga.
Ila mbona kama unajitetea au unapigwa sana vibuti ukaona uje kujifaraji JF
Point wil not be pointless unless u prove it. Lets leav a topic. U win bro
Nahisi una ID mbili mkuu humu Jf na leo umeniamulia na si vibaya ukija na ID ya 3 pia. Ishu yenyewe simple tu kuthibitisha hujawahi kutongoza kivipi na sisi tujifunze, una kazi ya kujizungusha zungusha
Dunia imekwsha...mwanaume unajisifia uzuriii.na dada zako vp sasaMkuu cjawahi kuumizwa na mwanamke,na huwa niko bize na kazi vibaya sana,nafanya kazi masaa kumi na 13 ,home narudi saa mbili hadi saa tatu.nikichelewa naingia saa 4 na kuamka saa 11 asubuhi.na mimi ni bonge la mwanaume na mumgu kanijalia uhandsome.ila mimi cyo mtu wa sketi
niwekee hapa picha nikuone kama unafanana na Haya Maneno? usiogope kuiweka mwsnaume was ukweli haogopi vitu vidogo,plzMkuu cjawahi kuumizwa na mwanamke,na huwa niko bize na kazi vibaya sana,nafanya kazi masaa kumi na 13 ,home narudi saa mbili hadi saa tatu.nikichelewa naingia saa 4 na kuamka saa 11 asubuhi.na mimi ni bonge la mwanaume na mumgu kanijalia uhandsome.ila mimi cyo mtu wa sketi
Gross!Watu wanapiga hadi kwa kutumia nati.
View attachment 404448
Mbinu zitanishinda mkuu.mm kwa kila wiki lazma japo mmoja nitongoze nisipomtongoza mtaani, nitamtongoza facebook au watsapp.Smh! Nilikuambia utafute polygraph, naona hukuelewa, sasa sijui unataka nithibitishe vipi?
Ungetaka kujifunza, ungeuliza mbinu.