Raha ya kutongozwa...lol

Raha ya kutongozwa...lol

bacha

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2010
Posts
4,282
Reaction score
799
Habari zenu wapendwa,........?

Lol...siku nyingi kweli sijatia timu jukwaa hili,

hata wadau wenzangu wa enzi zile siwaoni tena.....anyway!

Back to the topic,..........


Hivi dada zangu huwa mnaenjoy mkiwa mnatongozwa?

Ni kweli kuwa usipotongozwa kama wiki tu hivi wajisikia vibaya?

Najua kuna suala la umri hapa kwenye sanaa hii ya utongozwaji,

Lakini napenda tu nipate jibu la jumla,

Jamani huwa mnajisikiaje?


Asalaaam Aleikhum...........................
 
Nani siku iz anatongoza? Yaani suala la kuambiwa twende nikakudinye unasikia raha je mchezo wenyewe si utakufa kwa utamu uliopitiliza!!!


Black Kid....ina maana siku hizi ni kubeba tu na kwenda kumchapa nao,

hakuna kuremba....?
 
kutongozwa kunaraha yake afu ukute anaona aibu anashindwa kujieleza loh penda sana mimi.... mtu wa hivyo napenda akanitongozee sehemu ya vinywaji na si kwenye simu loh ... aaah hapo namzungusha hata mwezi loh


kwahiyo kumbe unamzungusha ili wewe uendelee kuenjoy jinsi anavyojikanyaga kanyaga kwako,

wajiona kama malkia fulani hivi eeeeh....
 
inategemea na anaekutongoza

UNAKUMBUKA HII SIKU??
1507135_498133380296981_132449354_a.jpg
 
kwahiyo kumbe unamzungusha ili wewe uendelee kuenjoy jinsi anavyojikanyaga kanyaga kwako,

wajiona kama malkia fulani hivi eeeeh....

yani napenda afu ukute jibu najua ni hapana loh aaaa moyo wangu furahi sana
 
Back
Top Bottom