Raha ya kupendwa

Raha ya kupendwa

englibertm

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2009
Posts
9,252
Reaction score
6,211
1455003_244848625670563_1443423552_n.jpg
 
Kumbe hadi simba wanamahaba jaman!!!.......ukute hapo bebii kanuna so anabembelezwa
 
Wadudu wote wenye jinsia ya kiume hatari sana...check haka na kike kalivyorelax
 
Labda wasiojua kupendwa hao ndio hawapendeki....maana kuna watu wengine hawabebeki kama gunia la misumari🙄🙄

kwanini sasa usianzishe semina za wanawake wasiojua kupenda na kupendwa?
 
sasa mbona kama wote majike au sio upendo niliouelewa mimi?
 
Back
Top Bottom