Raha ya kuishi kwa mafisadi

Raha ya kuishi kwa mafisadi

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,459
Reaction score
872,119
1418757451868.jpg
 
Huyo paka wa kizungu. Bongo paka kazi yake ni moja tu, kukamata panya. Akijichanganya kufanya blunder km hiyo ya kurelax kwenye sink, atachezea bakora za kutosha au atalala njaa siku hiyo!!
 
Huyo paka wa kizungu. Bongo paka kazi yake ni moja tu, kukamata panya. Akijichanganya kufanya blunder km hiyo ya kurelax kwenye sink, atachezea bakora za kutosha au atalala njaa siku hiyo!!

Nimecheka mpaka nimemwaga chimpumu yangu
 
akitoka hapo anaenda kukaangiwa mayai....

Mh! na jumamosi ana apointment na dakitari wake atamfuata nyumbani kumfanyia check up ikiwemo na kumkata kucha pamoja nakumpelekea shampoo za kuogea ili manyoya yasipukutike hovyo
 
Ndio maana huwa wakiwaona panya wanakimbia
 
Back
Top Bottom