KiTiMoTo, na Ijumaa hii, upate alafu isikauke sana kuwe na ugali flan unga wa kuloweka, kama itawezekana upate na maziwa mgando yasiwe makali sanaaa, then kwa kuwa inajitegemea mafuta basi ukipata kamchicha mafungu mawili sio mbaya, na mda wa kuanza kula zima simu maana unaweza kupokea habari za msiba kila kitu kikaharibika
Mshana Jr tunakwama wapiiiiiiii
View attachment 1217155