umenikumbusha enzi hizo za kombolela watu wanaishia kulia ass as as as kumbe hakuna kitu utoto saa zingine ni ukatuniutoto huo jamani hata hisiaaaa hazikuweppooooo kabisaaaaaa lol
Nimekumbuka mballi miaka hiyo nikiitwa mjapani.nilikua na yard ya kuuza magari ya makopo na waya
sasa uchagani kwetu ndo usiseme, yanastawi sana sehemu zenye baridi na majimaji, ni yale yale ya njano mtini linakua kama tunda, likianguka linapasuka kunakua na vidude vya round vya njano mpauko si hayo ya kwenye picha, ngoja ntaenda kijiji ntakutupia picha uone
SIKONGE nimetupia picha ya makome ya kwetu umeyaona?Utowe Makome? Wee utakuwa Mnyamwezi haki ya nani labda kama kuna kabila lenye jina la Matunda hayo kama sisi.
Au Makome kikwenu ni nini? Kama ni yale ya njano, nilikuwa siyapendi sana hayo Makome ila Mantonga, mhhhh!!!
![]()
View attachment 86282
SIKONGE nimetupia picha ya makome ya kwetu umeyaona?
Asante nimeyaona ila ni tofauti na ninayoyafahamu mimi. Makome ya Kinyamwezi yamefanana sana na hayo matunda mtini ila sema Makome yanakuwa Makubwa kidogo. Ni kama Orange na Grapefruit.
Itabidi nifunge safari niende Moshi/Arusha na nikifika huko ntayatafuta.
Wewe KITALOLO nitake radhi plzzzz coz yang ukiyaona tuuu kama suria wa king Suleimanunaona hivyo vimaziwa vyako vilishikwashikwa mapema mpaka vimekuwa mgando yaani maziwa lala au kama chapati.
wewe ni yupi hapa?
View attachment 89127
..nimeipenda hii,kijiji gani hapa ...unaona hivyo vimaziwa vyako vilishikwashikwa mapema mpaka vimekuwa mgando yaani maziwa lala au kama chapati.
wewe ni yupi hapa?
View attachment 89127
Hii style ya kina mama kuoga mtoni niliona huko kusini jimbo la Mtama wache nichafue suruali dahunaona hivyo vimaziwa vyako vilishikwashikwa mapema mpaka vimekuwa mgando yaani maziwa lala au kama chapati. wewe ni yupi hapa? View attachment 89127
Hii style ya kina mama kuoga mtoni niliona huko kusini jimbo la Mtama wache nichafue suruali dah[/QU
Duh yaani nimekuta nacheka mwenyewe hapa kipi cha kuchafuklia surualia tena ulidondoka?? au walikumwagia maji?