..hawezi kuamini,hebu muwekee picha aone mwenyewe...teh tehh..!Wewe KITALOLO nitake radhi plzzzz coz yang ukiyaona tuuu kama suria wa king Suleiman
well queried!! Enzi hizo watoto walikuw wanahinda ka ubunifu a kutengeneza vitu...hata vitu vya kuchezea walikuwa wanavibuni wenyewe kwa kutumia bongo zao na aliyekuwa anawashinda wengine aliheshimika sana kijijini; Lakini siku hizo watoto wanaletewa toys za kichina na hawana tena fursa za kujenga fikra za uvumbuzi wakati wa kukabiliana na changamoto za maisha.Alafu mnasema watotot wa kiswahili hawana akili?
Ci tuliita MAGAVELI
Ameline hayo ni MAKWEME yanastawi sana mwika mamba marangu kilema kirua vunjo nk na hicho kigari kwetu rombo kinaitwa KIPURUSA na mimi nilikua mkali wao ktkt kuvitengeneza.sasa uchagani kwetu ndo usiseme, yanastawi sana sehemu zenye baridi na majimaji, ni yale yale ya njano mtini linakua kama tunda, likianguka linapasuka kunakua na vidude vya round vya njano mpauko si hayo ya kwenye picha, ngoja ntaenda kijiji ntakutupia picha uone
Tunapokosea ni kuwa wanaotengeneza vitu kama hivi hawakupaswa kusujudiwa tu na wenzao kule kijiji, ilitupasa kama taifa kuwa na mfumo wa kutambua watu wenye vipaji na maarifa kama hawa na kuwaendeleza. Hawa walipaswa kuhusudiwa na taifa loteKUCHEZA NA KUFURAI KUKO PALEPALE HAIJALISHI HATA KAMA TUNAUMASKIN!!!
Watoto wakicheza na kufurahi hata kama vifaa vyao sio vya kisasa lakini maisha yanaendelea.
Lakini mmi nimekumbuka mbali sana sana, yaani waliokuwa na uwezo wa kutengeneza hivi vifaa walikua wanasujudiwa na wenzao, sasa kule kwetu ili upande hiki lazima utoe makome au matunda yaliyo kwenye msimu kwa idadi utakayoambiwa na mwenye gari.. tuliita vifaa hivi KITOTORO AU APOLO
hahaha nashukuru Mungu sikuvaa suruali nyeupe vile vile sikuvaa suruali ya kitambaa maana ingekuwa dhahima ingebidi niondoke eneo la tukio kwa kuruka kichura kuficha aibu :A S angel:
..kiongozi nishapack kamera zangu mbilli na ipad moja, nakwenda kuvumbua asili ya mwanadamu.. msalimie Fidel80..
Fidel80 Kuna ushauri wowote unaweza mpatia huyu jamaa kama hajauende kwa huo utafiti wake mimi kwa ushauri wangu naweza kukuambia uchukue zile nguo za mvua uvae kwa ndani ndio kwa nje utilie nguo za awaida ili kuepuka na ile aibu ya Fidel80. vinginevyo inabidi uvae diaper kabisa
..napitia msuli pale mbagala msikiti na kanzu moja,zinatosha mpaka jtatu...
...aahahahhh ! hakuna mahali ilipoandikwa hizi nguo ni za dini fulani,pale msikitini ni maarufu kwa kuziuza kwakuwa waumini wake wanazipenda, hata padri anavaa kanzu.....oooh! ngoja ni overtake hii canter hapa mkuranga ntarudi....Wallah angalia wenyewe wasikusikie wataandamana kudai nguo za ibada kwenda nazo porini kufanya utafiti wa kuvumbua asili ya mwanadamu.
tusijesabababisha FBI wakarudi tena nchini kuja kutuchorea katuni aliyekupiga chuma
...aahahahhh ! hakuna mahali ilipoandikwa hizi nguo ni za dini fulani,pale msikitini ni maarufu kwa kuziuza kwakuwa waumini wake wanazipenda, hata padri anavaa kanzu.....oooh! ngoja ni overtake hii canter hapa mkuranga ntarudi....
..kitu kama mfalme mswati,afya ya macho na akili..